HII NDIYO TOFAUTI YA K-LYINE NA MADEMU WENGINE
Leo katika pitapita kwenye kurasa za WAREMBO huko INSTAGRAM...nimekutana na hichi kiatu cha mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-LYINN..kiudaku
udaku nikaona ngoja ni GUGO bei ya hiki kiatu....Duh kucheki bei yake
nikachoka mwenyewe...ni zaidi ya gari aina ya VITZ (USED) lakini..hizi
ndio wabongo wengi tunazimudu)....Hehehe sio ishu yote maisha...ni
zaidi ya shilingi Milioni Tatu na Nusu (ONLINE) na hapo bado
haujaletewa...Kumbuka hiki nikiatu tu, bado gauni,
pochi...nywele....nk...Dah huyu si anatembe na M-KUMI kabisa.... Jionee
mwenyewe hapa
Kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM alikuwa ameweka picha hii:
No comments:
Post a Comment