Pages

Pages

Wednesday, June 4, 2014

MWANA MFALME WA KUWAIT ABADILI DINI NA KUWA MKRISTO

Mtoto wa Mfalme wa Kuwait Prince Abdullah Al Sabah amebadirisha dini na kuingia Ukristo baada ya kukiri kwake kwa kutumia Radio ya nchini Kuwai. Prince Abdullah Al Sabah ndie anaye fuata katika ufalme wa Kuwait. 

Kuwait kwa mara ya kwanza inaweza ikapata Mfalme ambaye ni Mkristo, jambo ambalo litatikisa falme na nchi nyingi za kiarabu! 

Kwa habari zaidi soma hapa: https://themuslimissue.wordpress.com.. .omment-page-1/
Mtoto wa Mfalme wa Kuwait Prince Abdullah Al Sabah amebadirisha dini na kuingia Ukristo baada ya kukiri kwake kwa kutumia Radio ya nchini Kuwai. Prince Abdullah Al Sabah ndie anaye fuata katika ufalme wa Kuwait. Kuwait kwa mara ya kwanza inaweza ikapata Mfalme ambaye ni Mkristo, jambo ambalo litatikisa falme na nchi nyingi za kiarabu!

No comments:

Post a Comment