Bootylious
anayeongoza kwa mgongo hapa Afrika Mashairiki, Vera Sidika aka Vee
ameamua kurudi shule baada ya kukacha mwaka mmoja bila kusoma, Vee ni
video vixen katika ngoma kama P Unit ‘You Gay’ na CMB Prezzo ‘My Gal’,
aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook kuwa anarudi shule ili
kumalizia kile anachosemea katika chuo cha Kenyatta nchini Kenya baada
ya ku-make mkwanja kupitia umbo lake matata.
“The 1 year gap I took off school. . Time is up I must get this degree.
Back to school.
Staying focused
Happy new month sweethearts”
No comments:
Post a Comment