Pages

Pages

Tuesday, October 26, 2010

ANGELS ENTERTAINMENT KULETA THE MOST HANDSOMAN MAN KWA MARA YA PILI

   Kampuni ya Angels Enterainment inatarajia kufanya shindano la most handsoman in Tanzania kwa mara ya pili ambapo ushindi wa mwaka jana ulienda kwa Halid mohamed ambaye yuko nchini canada kikazi.
                                Joseph rwebangira-mkurugenwa Angels Entertainment

   Akiongea na Uniqueentetz blog ambayo pia ni moja ya wadhamini kufikisha ujumbe ,matukio na habari za shindano hili la kusisimu Bwana joseph Rwebangila amesema maandalizi yamekamilika na punde tu mambo yataanza kuonekakana katika vyombo mbalimbali vya habari
   Fomu bado zinapatikana Identity store ,zizzu fashion victoria ,ijumba enterprises,photppoints zote, wahi mapema naeasi ni chache.

No comments:

Post a Comment