Pages

Pages

Thursday, March 31, 2011

HARUSI YA KANUMBA KATIKA PICHA

 
Window shopping na mitoko ya weekend ilikuwa namna hii.
Enzi za uchumba ilikuwa hivi.mahaba motomoto kila kona.kanumba akijitayarisha kuchukua jiko.(WAIT FOR THE SHOCK"

JIM JONES AKAMATWA KWA KOSA LA KUENDESHA GARI KINYUME CHA SHERIA
Rapper Jim Jones was released from police custody after being arrested in New York City for driving with a suspended license.
 reports that Jones was busted today (March 30th) for driving his 2011 Bentley in the bus lane with a suspended license.
According to the rapper, the New York Police Department showed him the utmost respect during the process, leading him to praise the officers.
"I'm just an entertainer trying to make a living," the rapper told the Daily News. "They showed me total respect. Every officer in there is a gentleman."
Jim Jones is a member of The Diplomats, a rap group that features core members Cam'ron and Juelz Santana, who recently reunited after years of inner-turmoil within the group.
Last week, Juelz Santana missed a performance with Chris Brown in New York City, after police stopped the rapper searching for guns and drugs.
Juelz is currently free on $125,000 bond, after a 10-month investigation by the Bergen County Prosecutors Office and Gang Unit resulted in the raid of his New Jersey studio.
Police found two loaded 9MM handguns and a small amount of marijuana.
As for The Diplomats, the group is currently touring for their reunion, while simultaneously promoting upcoming releases by Jim Jones (CAPO) and Cam'ron and Vado (Gunz & Butta)."
Jim Jones' CAPO is due in stores on April 5th, while Cam and Vado's Gunz N' Butta are due in stores on April 20th.
Jim Jones is also a star in VH1's 8-part docu-soap series "Love & Hip-Hop." 



MACHO YA ADELA YAMPA USUMBUFU DHIDI YA WANAUME. 
Mtangazi wa kipindi cha mahaba na mmliki wa blogu inayozungumzia mambo ya kutupiana mbichi na matatizo yake Adela kavishe amesema ukweli macho yake huwasumbua ssana wanaume wenye mihemuko ya ghafla.
  Hatua hi imempelekea kupata kero nyingi toka kwa wanaume kadhaa wanaolilia usajili kwenye jimbo hilo.
  "wanaume wengi nkitizamana nao huzani nawakaribisha kumbe mie walaa... ndio jinsi nilivyoumbwa tu"  alidokezaa Adela


RICK ROSE AKAMATWA NA BANGI


Toka pande za obama,Rapper toka Miami,William Leonard Roberts II aka Rapper Rick Ross hivi karibuni amekamatwa na polisi akiwa na madawa ya kulevya aina ya bangi aka marijuana pande za hoteli ya Shreveport mjini Louisiana


  Rick Boss  ni muasisi aka founder wa Record Label iitwayo Maybach Music Group mwaka 2008,ila kwa sasa iko chini ya Warner Bros. Records na alikamatwa Ijumaa usiku,baada ya polisi kukuta mlango wa chumba chake kiko wazi na kukuta kitu cha A-Town,ila kwa sasa yuko huru na Rick Ross alikua pande za Lousiana kwa ajili ya kupiga show Kokopellis Night Club kwenye birthday ya DJ Bay Bay na Pia yuko kwenye tour iitwayo I Am Music II tour ya Lil Wayne,wakiwa pamoja na Nicki Minaj na Travis Barker

BAADA YA KUINGIA UK KIMYA KIMYA WAZIRI WA GADDAFI AWEKWA KITIMOTO

Waziri wa mambo ya nje wa Libya Mousaa Koussa
Waziri wa mambo ya nje wa Libya Mousaa Koussa amekuwa akihojiwa na maafisa baada ya kuwasili Uingereza bila kutarajiwa siku ya Jumatano.
Alitokea Tunisia. Ofisi ya Uingereza ya mambo ya nje ilisema "hakuwa na nia tena" ya kufanya kazi na Kanali Gaddafi.
Hata hivyo msemaji wa Libya alikana kwamba Bw Koussa ameasi na kwamba alikuwa katika safari ya kidiplomasia.
Kuwasili kwake Uingereza kumefanyika huku waasi wa Libya wakiwa wamerudi nyuma kwenye miji iliyotekwa hivi karibuni katika pwani ya mashariki.
Kurudi nyuma kwa waasi kulitokana na mapigano makali baina ya Brega na Ajdabiya siku ya Alhamis.
Awali waasi hao walishapoteza bandari muhimu ya mafuta ya Ras Lanuf na mji mwengine ulio karibu wa Bin Jawad.
Upande wa magharibi, mji ulioshikiliwa na waasi wa Misrata bado unaripotiwa kushambuliwa na majeshi ya wanaomtii Kanali Gaddafi.

HONEY OF A DAY -spicy model
sexyspicey-models-photos3.jpg
Hizi ni swagger sio nyasi tupo juu kama kawa mikandamizo inaendelea uniqueentertz blog its another level...

No comments:

Post a Comment