Pages

Pages

Monday, April 4, 2011

BALAA DUNIANI..!! JINI MLA WATU

     WAIGIZAJI WETU WAKIFANYA MABO YAO KATIKA LIESO
 

BREAKING NEWS ...SILVESTER RWEGASIRA AFARIKI


PICHANI kushoto aliyekuwa Katibu Mkuu Chama Cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania TRAWU,Silvester Rwegasira amefariki dunia kwa tatizo la moyo. Akizungumzia na www.burudan.blogspot.com juu ya msiba huo mmoja ya mfanyakazi wa TRAWU ambaye si msemaji, alisema kuwa kifo cha katibu huyo kimetokea leo saa mbili na nusu asubuhi katika Hospitali ya Dar group na mwili wake umehamishiwa katika Hospitali ya Amana Dar es Salaam. Alisema marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda wa wiki tatu ndipo alipokutwa na mauti hospitalini hapo. Hata hivyo kabla ya kufikwa na mauti Bw. Rwegasira alitakiwa kufanya mkutano ofisini kwake siku ya Ijumaa iliyopita kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu kusitishwa kwa mkataba wa TRL. Mkutano wa Ijumaa uliahirishwa na kupangwa kufanyika jana ambapo alitakiwa kuzungumzia makubaliano yaliyofikiwa katika kikao cha kamati kuhusu suala hilo la kusitisha mkataba ili lifikishwe bungeni. KATIBU Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzani (TRAWU) Bw. Silvester Rwegasira amefariki dunia kwa matatizo ya moyo. Akizungumzia msiba huo mfanyakazi wa TRAWU ambaye si msemaji, alisema kuwa kifo cha katibu huyo kilitokea jana saa mbili na nusu asubuhi katika Hospitali ya Dar group na mwili wake umehamishiwa katika Hospitali ya Amana Dar es Salaam. Alisema marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda wa wiki tatu ndipo alipokutwa na mauti hospitalini hapo. Hata hivyo kabla ya kufikwa na mauti Bw. Rwegasira alitakiwa kufanya mkutano ofisini kwake siku ya Ijumaa iliyopita kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu kusitishwa kwa mkataba wa TRL. Mkutano wa Ijumaa uliahirishwa na kupangwa kufanyika jana ambapo alitakiwa kuzungumzia makubaliano yaliyofikiwa katika kikao cha kamati kuhusu suala hilo la kusitisha mkataba ili lifikishwe bungeni. KATIBU Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzani (TRAWU) Bw. Silvester Rwegasira amefariki dunia kwa matatizo ya moyo. Akizungumzia msiba huo mfanyakazi wa TRAWU ambaye si msemaji, alisema kuwa kifo cha katibu huyo kilitokea jana saa mbili na nusu asubuhi katika Hospitali ya Dar group na mwili wake umehamishiwa katika Hospitali ya Amana Dar es Salaam


Mama Mwanamwema Shein Atembelea Vikundi Vya Ushirika Zanzibar


MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akitowa nasaha zake kwa Wanakikundi cha Ushirika cha Tabasamu cha Mangapwani Wilaya ya Kaskazini B,baada ya kukabidhi Boti ya kuvulia Samaki kwa kikundi hicho kijijini hapo kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Ali Iddi


MWENYEKITI wa Kampeni ya Mama Shein, Mvita Kibendera wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita akiwataka Wanawake washikamane ili kukiletea Chama Ushindi katika chaguzi zijazo wakati wa Ziara ya Mke wa Rais wa Zanzibar katika kijiji cha Kiombamvua.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akimsalimia Mtoto Yussuf Ali wakati alipofika Kijiji hapo kukabidhi Boti kwa Kikundi cha Ushirika cha Tamasamu cha Mangapwani,makabidhiano hayo yamefanyika katika pwani hiyo
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi Boti Mwenyekiti wa Ushirika wa Tabasamu Ali Juma Nuru, kwa ajili ya ushirika wao kufanyika shughuli za Uvuvi,sherehe hizo za makabidhiano zimefanyaka Pwani ya Mangapwani.Picha na Othman Maulid Othman.

Sean Paul Denies Past Relationship With Beyonce

Reggae superstar Sean Paul won't be feuding with Jay-Z, at least for now.
sean_paul_beyonce_relationship.jpgPaul is denying reports that he has plans to release a book detailing an alleged relationship with Hov's wife, R&B singer Beyoncé. The book -- a chronicle of his life growing up in middle-class Jamaica -- is rumored to expose the tryst that occurred while the 'I Am... Sasha Fierce' creator was taking a break from her relationship with Jay.
News about the book surfaced on the Internet earlier this week and the Grammy Award-winning reggae singer took to Twitter to refute the claims.
"RRR!!! THIS IS THE TWEETINATOR!!! RRR!!! SP SAY HE DON'T WRITE BOOKS. HE
WRITE SONGS!!! RRR!!! [sic]"
he wrote.

A rep for Sean Paul also told Radar Online the rumors were not true. "The reports are completely false," the rep said. "Sean is not working on a book and has never had anything more than a working relationship with Beyoncé."
The business relationship the rep speaks of occurred in 2003, when the two collaborated on the Destiny's Child frontwoman's hit song 'Baby Boy.'
Sean Paul's last album, 'Imperial Blaze,' was released in 2009. He is set to headline the UCLA JazzReggae Destival, alongside Lupe Fiasco, on May 30.

HIZI NI SWAGGA ZA KIASKARI SIO MJANI WALA NDUMBA BABAAKE!!


Mkaguzi msaidizi wa Polisi ambaye ni mkufunzi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi, akipita bila viatu kwenye moto,kama ishara ya kuonyesha kuwa kila kitu kinawezekana, wakati wa kufunga mafunzo ya siku mbili yaliyotolewa na taasisi ya (Peak Perfomance) kwa wakufunzi wa chuo hicho katika kuwajengea uwezo wa kiimani, kisaikolojia na kujitambua kwanini wanaishi ili kuwasaidia kujiamini katika utendaji wa shughuli zao za kila siku


Reggae Singer Luciano, Warrior King, Casey to Perform Disaster Relief Benefit Concert In Australia

franti_luciano_Bonnie_casey_worrior_king_charity.jpg
Reggae messenger Luciano will join musician and activist Michael Franti, along with his band Spearhead; The Aggrolites; Warrior King; Kim Churchill; Nicky Bomba and Canada's reggae soul princess Bonnie Casey will headline a benefit concert on Wednesday, April 20th 2011 at the Northern Hotel in Byron Bay, Australia to assist those affected by the devastating disasters that recently hit Japan, New Zealand and Queensland, Australia.
Event organisers in a press release said, "floods, earthquakes and tsunamis have taken a toll on millions of people recently and we are the lucky ones that get to help. It will be a night of celebration for life, acknowledging and helping those caught in the multi-regional disasters. The evening is an international collective of musicians from USA, Jamaica, Canada and Australia that care and will perform semi-acoustic sets closing with an all-star jam that will surely be of legendary proportions."
Event headliner Michael Franti has been bringing our world exceptionally powerful, deeply felt music. His latest release, The Sound of Sunshine, marked the highest chart debut of Franti’s career on the Billboard Top 200 and continues to find success on the charts with singles “The Sound of Sunshine”, “Hey Hey Hey” and the latest release “I’ll Be Waiting”. Franti’s impressive series of recordings have vividly reflected his status as a musical citizen of the world as he continues to bring his unique sound and inspiring message to fans everywhere


Tembelea www.wajanjaclub.blogspot.com

No comments:

Post a Comment