Pages

Pages

Tuesday, September 13, 2011

BREAKING NEWS: NDEGE YAANGUKA LEO ASUBUHI MBEYA

Hapa ndio mahali ndege hii ilipoangukia baada ya injini zake kuzima ghafla.
Ni Ndege ambayo ni mali ya kampuni ya Kapunga Rice huko Mbeya.
 Tunawapa pole wote waliopatwa na tatizo hili, kwa taarifa tulionaza hamna mtu aliyepoteza maisha wote wametoka salama ni mmoja tu alipata majeraha madogo.

PICHA ZETU

 Mdadazzzz.
Alice Lushiku.
Buduli,miss Shinyanga 2010. 
 Jackline Chuwa na Asha (Miss kilimanjaro 2010).
 Silvia Mashuda.
 Linah.
Jokate na Edwin. 
 Silvia Shally.
Glads Shao.
Mama matukio lulu akiwa na bestyake.


JLO NA UHUSIANO MPYA
 
Jennifer Lopez and her former hubby Marc Anthony have recently announced their divorce after 7 years of marriage. Now, there are already rumors speculating that Jennifer and Bradley Cooper have been getting friendly.

No comments:

Post a Comment