Pages

Pages

Tuesday, September 13, 2011

MISS ANGOLA LEYLA LOPES NDIYE MISS UNIVERSE 2011


We have a new Miss Universe from Angola, Africa and a soon-to-be household name: Leila Lopes.
Most of you may remember the south central African nation of Angola as taking a spanking from America's First Dream Team, but they now have a major victory thanks to the beautiful Leila Lopes.


SURUALI YA BOB JUNIOR YACHANIKA JUKWAANI
 Katika hali isiyo ya kawaida kijana Mtanashati(Sharobaro) Bob Junior alionekana jukwaani akiburudisha watu huku suruali yake ikiwa na tobo katikati ya mapaja kama inavyoonekana pichani
Wachambuzi wa mambo yakichokonozi wanadai kuwa inawezekana alipanda ukwaani huku ikiwa imechanika ama ilichanika wakati akikata mauno kwani mzunguko wa uno moja la kijana huyo ni zaidi ya binti akikatika.
Aidha wadodosaji wa habari za udaku wamesema suruali hiyo huenda ilikuwa feki kiasi cha kushindwa kuhimili kasi na mbimbiriko wa mizungusho ya mauno ya kijana huyo.

No comments:

Post a Comment