Pages

Pages

Monday, September 12, 2011

KAMATI YA MISS TANZANIA YAKABIDHI VYETI KWA WADHAMINI NA WAREMBO

 Mkurugenzi wa Giraffe Ocean view Hotel Dr. Charles Bekon akipokea cheti cha utambuo wa kudhamini Vodacom Miss Ttanzania 2011.
 kutoka kushoto ni Mrs Dr.Charles,Salha(Miss Tanzania 2011)na Dr Bekon(kulia).
 
  Salha akiwashukuru wadau na kamati ya Miss Tanzania jana usiku katika hafla fupi iliyofanyika Hoteli yenye hadhi ya nyota nne Giraffe Ocean View Hotel ilyopo jijini Dar.
Familia ya Salha wakipiga picha ya pamoja.
  Top 3 ya Vodacom Miss Tanzania 2011.
 Dr.Charles Bekon akiwa ameweka pozi  huku mkewe akimtizama kwa furaha mumewe.
 Geneviev looks so hot last night.
 Miss Tanga na mama yake.
Miss Tarent,Rose.
 Leyla Juma(Miss Ruvuma).
 Jennifer Kakolaki.
Taji liundi,Miss kinondoni 3,Makoye and rico.
 Alice Lushiku.
 Jamani...jamani ulegi huuu ...mhhh..!!
   one of a sexy contestant of a year.
Matina na Miss ilala wa 2009.
Swaga za keki nazo zilikuepo,Edwin(mkurugenzi wa Edge Entertainment) akimlisha moja ya warembo walioshiriki miss ilala mwaka huu.

No comments:

Post a Comment