Pages

Pages

Sunday, September 11, 2011

SALHA ISRAEL NDIYE VODACOM MISS TANZANIA 2011

Salha Israel akiwapungia mkono mashabiki wa urembo duniani kote ishara ya kuwashukuru kuchaguliwa kuwa mrembo wa Taifa.Salha ataiwakilisha nchi yetu katika mashindano ya dunia.zawadi ya salha hii hapa chini(jeep).
 Mrembo Salha akivishwa crown.
Mshindi wa tatu Alexia Wiliams(kushoto),Salha(kati) na Tracy(kulia).
Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya 5 bora ya Vodacom Miss Tanzania 2011 wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Miss Sports Woman, Loveness Flavian, Miss Photogenic Tracy Mabula, Jenifa Kakolaki, Miss Personality, Alexia Willium na Salha Izrael.
Jana usiku ilikuwa furaha kwa  Uniqueentertz blog kwani ilkuwa sambamba na Salha toka Miss Ilala,nilimpa A.K.A "queen of Ilala"  leo ni "Queen of Tzee"
Juliana kanyomozi.
 Warembo wa VODACOM  Miss Tanzania wakiwa katika vazi la ufukweni.
 Bob junior akiruka soti jukwaani yaani ni swagga tuuu..
 Salha katika vazi lau ubunifu.
 Alexia Williams akionyesha kwanini alistaili kuwa namba tatu.
 Brand Manager wa REDDS Victoria Kimaro akiwa na mwandishi Evance.
Michael Jackson wa bongo akicheza like MJ.
 Salha looks so sexy last night.
 Jackson Kalikumtima akipongezwa na wadau mbalimbali baada ya warembo wake 3 kuingia top 5 ila baadhi ya watu walishikwa na simazi pale kusikia mwandaaji huyo hataandaa tena..pliiiss kalikumtima usifanye hivyo mchango wako bado unauitaji sana katika tasnia hii.
Martina akiwa mzigoni wakati shindano lilkiedelea.


LINAH APAGAWISHA VILIVYO BBM PARTY, MBALAMWEZI BEACHWasanii wa muziki wa kizaz kipya Bongo, Estelina Sanga 'Linah' (kulia), akiserebuka na mmoja wa mashabikiwake anayejulikana kwa jina la Koro, ambaye pia ni shabiki namba moja wa Bendi ya Akudo Impact muda mfupi baada ya kuomba mtu wa kuimbanaye katika tamasha hilo.

No comments:

Post a Comment