Pages

Pages

Thursday, November 10, 2011

MALIKIA WA MICHANO KUSAKWA MKOANI TANGA

 Mashindani ya kumsaka mwanada anayefokafoka a.k.a HIP-HOP yanatarajiwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu katika viwanja vya Mkwakwani mjini Tanga ambapo itakutanisha wasichana watano wenye vipaji kuchuana LIVE kwenye jukwaa moja.
 
 Akiongea na UNIQUEENTERTZ BLOG Mkurugenzi wa Hearth Care Kwanza  club Ltd Renatus Muganda amesema kuwa shindano hilo litakuwa la kihistoria mkoani Tanga kwani litazunguka mikoa karibuni yote kusaka vipaji vya mabinti mwisho itafanyika fainali jijini Dar.
 Pesa zitakazopatikana zitasaidia kujenga ukuta wa mahabusu ya watoto uliopo barabara 15 na 16 mkoani hapo. 

CHADEMA WASITISHA MAANDAMANO

Mwita mwikabe ambaya ni mkurugenzi wa taifa wa sera na utafiti wa Chadema akifafanua kwa waandishi wa habari sababu za kuahirisha maandamano ya leo
Wafuasi wa Chadema wakitawanyika kwa amani baada ya kuombwa na mwenyekiti taifa na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe kuwa waahirishe ili akamilishe mazungumzo na wakuu wa polisi.

Mwenyekiti wa BAVICHA Ndg.John Heche akizungumza na wanahabari juu ya maandamano na sababu za kusitisha maandamano hayo.
Askari polisi wakiwa kazini leo
Mmoja wa askari polisi akiwa kazini leo wakati Chadema walipoahirisha maandamano yao Kimara Dar es salaam leo.
 

Nicki Minaj Raids Victoria's Secret Fashion Show

Nicki Minaj


The 2011 Victoria's Secret Fashion Show was the place to be for hot models and hot hip-pop artists last night. 

Nicki Minaj, Maroon 5, Jay-Z and Kanye West all hit up the Victoria's Secret Fashion show to rip the runway with their best hit songs.

No comments:

Post a Comment