Pages

Pages

Friday, February 10, 2012

ROSE MUHANDO AINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA SONY MUSIC YA MAREKANI

Msanii wa muziki wa injili Rose Muhando ameingia mkataba na kampuni ya Sony Music wa kurekodi baadhi ya nyimbo zake ambazo sasa zitaanza kutambulika kimataifa. Kampuni hiyo ambayo inafanya kazi na wasanii mbali mbali wa nje akiwemo Beyonce, R kelly, Pink na wengine wengi itasaidia Nyimbo za Rose Muhando ziweze kufika mbali.

No comments:

Post a Comment