OMOTOLA ANG'ARA KWENYE KIPINDI CHA BOUNCE -USA
Muigizaji wa Nollywood, Omotola, Jalade- Ekeinde, ameanza kuonekan
kwenye televisheni za Marekani, kwenye kipindi kiitwacho Bounce
Nyota huyo ambaye amekuwa Marekani kwa muda sasa ameanza kuonyesha uwezo wake mbele ya wakali wa Hollwood nchini Marekani
Baadhi ya wasanii mbalimbali kutoka Nigeria walishindwa kung'aa lakini
msanii huyo amefanikiwa kushiriki kwenye tamthilia nchini Marekani
Katika tamthilia hiyo Omotola amecheza na Kimberly Elise
No comments:
Post a Comment