Pages

Pages

Saturday, December 31, 2011

NELLY KAMWELU AWATOA KIMASOMASO WATANZANIA KATIKA MISS TOURISM QUEENS INTERNATIONA 2011


 Mshiriki wa Tanzania katika shindano la Miss Tourism Queen International 2011, Nelly kamweli amefanikiwa kushika nafasi ya 5 katika shindano hilo lilifanyika Desemba 29, 2011 katika kituo cha Kimataifa cha Maonesho wa Qujiang  uliopo mji wa Xi'an, China. Taji hilo lilienda kwa mshiriki kutoka Vietnam, nafasi ya pili ikienda Ufilipino, tatu ikienda nchini Thailand ambapo nafasi ya nne ilichukuliwa na kimwana kutoka Nchini Australia.
 Pichani ni Nelly Kamwelu akijinadi katika shindano hilo.
 Nelly (wapili kushoto) akiwa na washiriki wenzake jukwaani.
 
1  Thailand  Kantapat Peeradachinarin *
2  Fernando de Noronha (Brazil)  Jeanine Cristiane de Castro
Belarus  Mariya Ovechkina
4  China (North)  Wang Lu
Tanzania  Nelly Alkexandra Kamwelu (
Almas) *
 Nelly Kamwelu katika pozi la picha.
Top 10
India  Preet Singh Rakul
Canada  Ava Ferdowsmakan
Namibia  Antonia Shinana
Bolivia  Noemí Dominique Rosa Peltier De Liotta *
10  Portugal  Morgana Nogueira
Top 15
11  Brazil  Livia da Silva Nepomuceno
*
12  Russia  Tatyana Guseva
13  Sri Lanka  Pushpika Sandamali Mahampitiya Arachilage de Silva *
14  Guadeloupe  Erika A
ly *
15  Vietnam  Le Huynh Thuy Ngan
Continental Queens (automatic placing in Top 20)
16  Americas:  Venezuela  Maria Jose Brito Marcano
17  Oceania:  Australia  Brooke Jessica Nash
*
18  Africa: 
South Africa  Donique Leonard
19  Europe:  Czech Republic  Kristyna Jecmenova
20  Asia:  China (South)  Shen Chanjuan

BREAKING NEWS: BASI LA MTEI EXPRESS LAPATA AJALI

Basi la Mtei Express lililokuwa likitoka Babati kuelekea mjini Arusha linavyonekana baada ya kuinuliwa katika ajali iliyotokea jana eneo la Kisongo nje ya mji wa Arusha.
Askari wakiwa kwenye eneo la ajali kusaidia majeruhi iliyohusisha basi la Mtei Express lililokuwa likitoka Babati kuelekea mjini Arusha eneo la Kisongo nje ya mji wa Arusha.

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KAMBI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO JIJINI DAR

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa pole baadhi ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea jijini Dar es salaam kwenye shule ya sekondari ya Benjamin Mkapa wakati alipowatembelea Desemba 31, 2011.
Vijana wakipika ugali kwa ajili ya waathirika wa mafuriko ya Dar es salaam walioweka kambi kwenye shule ya sekondari ya Benjamin jijini Dar es salaam wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowatembelea Desemba 31, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dar es salaam ambao wameweka kambi katika shule ya sekondari ya Benjamin Mkapa Desemba 31, 2011.

RAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI SEFUE KUWA KATIBU MKUU KIONGOZI MPYA

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha rasmi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, kuwa Katibu Mkuu Kiongozi badala ya Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Phillemon Luhanjo, aliyemaliza muda wake. Hafla hiyo ya kumuapisha Balozi Sefue, imefanyika leo Ikulu Dar es Salaam. Wa pili (kushoto) kwa Rais ni Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Phllemon Luhanjo, akisimamia zoezi hilo.

ANGELA SIMMONS AJIACHIA UFUKWENI KUMALIZIA MWAKA

 
 
While her Uncle Russell has been on St. Barts vacationing, Angela Simmons also hit a beautiful beach yesterday.

RIHANNA AJIVINJARI NA NDUGUYE UFUKWENI

Rihanna
The 23-year-old "You Da One" singer was the one everyone wanted to take a picture with as she took a playful dip in the water with her little brother, Rajad. 
As the siblings wrestled and tossed each other in the water, Rihanna's bikini top let loose, exposing the bottom half her of breast. She didn't let a slight wardrobe malfunction stop her much needed fun.
RiRi hit up her home island to bask in the sun, and while she was there her grandmother put her up on game. 
 Rihanna tweeted, "My #Gma just said the haters can't stop we #WOW" Who knew Rihanna had an OG in her family. 

DRAKE AMUANIKA MPENZI WAKE MPYA..NI DOLLICIA BRYAN


Chris Humphries was rumored to be dating Dollicia Bryan, but she's actually Drake's new chick!
Earlier this week, Star magazine reported that Kris wanted to make his soon to be ex-wife Kim Kardashian jealous, so he tried to holla at Dollicia. But it turns out she's dating Drizzy. 
The Toronto rapper posted a picture of his new girl on his Instagram page.
 While some folks may have heard Dollicia already, a lot of people want to know ... just who is the mysterious Dollicia Bryan? 

PENZI LA KATY PERRY NA RUSSELL BRAND.... VIPANDEVIPANDE

1230_katy_perry_russell_brand_getty_ex
Katy Perry
WANTED Russell Brand to file the court papers in their divorce ... because she didn't want to upset her religious parents ... sources connected to the former couple tell UNIQUEENTERTZ
We're told ... Katy and Russell knew the relationship was on the rocks a couple of months ago -- but didn't want to give up on the marriage without making a concerted effort to work things out.
But the effort fell flat ... with both sides feeling "it just wasn't there."

We're told both Katy and Russell were on board with the divorce a few weeks ago -- but they didn't want to be in town when the papers were filed ... so he went back to England and she booked it to Hawaii.
Since Katy's parents are evangelical Christians, we're told she didn't want to be the one to "officially" end the marriage by filing the docs ... since she was raised to believe divorce is wrong.
After he filed the docs, Russell released a statement Friday insisting the two will "remain friends."

Friday, December 30, 2011

EXCLUSIVE: RIHANNA ATAMANI KUMRUDIA CHRISS BROWN

 The fact of the matter is, Rihanna still loves her first love Chris Brown, and the same can be said for Chris Breezy. 
They always say, well Drake always says, the first love is sweetest, but that first cut is the deepest. 
Yes, Rihanna and Chris' relationship was tumultuous, but there's always room for growth, maturity, success, improvement, and unconditional love. 
Anyone who has ever been in love knows it's hard getting over your first love. 
Unlike us, Rihanna and Chris Brown can't just simply get back together. Well they can, but the media will have the ultimate field day, and their reunion could potentially ruin their superstar careers. 
Although their fairy tale love story is a little more complicated than the average Joe and Jane's, that doesn't negate the fact that they still have love for each other. 

USAIN BOLT AJIRUSHA NA WAJAMAICA WENZAKE

Usain Bolt is fast ... especially when he's POUNDING ALCOHOL ... and UNIQUEENTERTZ has the photos to prove it.
The fastest man on the planet went to Jamaica for the holidays to hang out with his parents ... but dude made some time to have a little fun Wednesday at a beach party in Kingston.
We're told Bolt rolled up to the blowout sandbar party in a yacht filled with girls and quickly joined the drunken festivities ... hitting a booze bong and chugging Patron X.O. Cafe ... a coffee-flavored tequila.
Once again, it seems nobody on the planet can keep up with this guy.

Usain Bolt drunk

BOMOABOMOA NYUMBA ZA MABONDENI IMEWADIA

Mkazi wa Jangwani bondeni, Dar es Salaam, Mohamed Zuberi akilalamika mbele ya wanahabari jana, kuhusu utaratibu unaotumiwa na maofisa wa Manispaa ya Ilala kuhakiki nyumba zao zitakazobomolewa kufuatia amri ya Serikali.
Mkazi wa Jangwani, Dotto Ngoyeji akieleza malalamiko yake mbele ya wanan habari, kwamba Serikali inatakiwa kuata utaraibu kuwatendea haki katika mchakato huo wa kuhakiki nyumba zao.
Mmoja wa maofisa wa kutoka Manispaa ya Ilala, akiweka alama katika moja ya nyumba eneo la Jangwani.
Mama mkazi wa Jangwani, Dar es Salaam eneo lililokumbwa na mafuriko hivi karibuni, akiwa na huzuni baada ya nyumba yake kuwekwa alama ya kubomolewa na wakati wa mchakato wa kuhakiki nyumba hizo uliokuwa unafanywa na Maofisa wa Manispaa ya Ilala

BREAKING NEWS: MTANGAZAJI MKONGWE JOHN NGAHYOMA AFARIKI DUNIA

 Marehemu John Ngahyoma akiwa kazini enzi za uhai wake.
Tumepata taarifa kwamba Mwandishi wa Habari mkongwe nchini ambaye alikuwa akifanya kazi na Shirika la Habari la Uingereza (BBC), John Ngahyoma amefariki dunia leo asubuhi.
Msiba uko nyumbani kwa marehemu Tabata, karibu na nyumbani kwa Marehemu Danny Mwakiteleko. Mwenye taarifa zaidi atufahamishe.
Tunaitakia moyo wa subira na Mungu awafariji wanafamilia wa Ngahyoma katika kipindi hiki cha majonzi ya kuondokewa na mpendwa wao.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN

Thursday, December 29, 2011

MAAJABU NA KWELI: MTI UNAOUWA WANANDOA..HAUKATIKI WALA HAUHAMISHIKI

Eneo hili linaitwa Wawili Wapendanao na hapa ni Karatu Barabara yanapopita mabasi yaendayo Mwanza, ni maarufu kutokana na huu mti unaoonekana pichani ambao umeshindikana kwa namna yeyote kuuondoa ama kuukata mahala hapa.
Wenyeji wa maeneo haya wameuambia Mtandao wa Sufianimafoto kuwa, hata wajenzi wa Barabara hii walijaribu kutaka kuukata bila mafanikio kwani haukatiki wala haung'oki pamoja na kwamba walijaribu kila njia ikiwa ni pamoja na kufuata mila za kiswahili zilizoelekeza kuukata mti huo usiku wa manane bila mafanikio.
Aidha imeelezwa kuwa mti huo pia umekuwa maarufu zaidi kutokana na kutokea ajali za mara kwa mara katika mti huo na kuua watu, ambapo tayari zimekwishatokea ajali kadhaa ikiwa ni pamoja na ajali mbili za wanandoa waliotoka kufunga pingu za maisha na wakati wakirejea kuelekea ukumbili safari yao ikaishia katika mti huu na hiyo ilikuwa ni mwaka jana tu, wakati mwaka juzi pia ilitokea ajali kama hiyo ya kusikitisha mahala hapa.

WACHEZAJI WA TENIS WAJIFUA KWA AJILI YA MICHUANO YA VIJANA

Kocha wa mchezo wa Tenis, Ismail Omari akiwaelekeza wachezaji Joyria Ismail na Srah Bura wakati wa mazoezi leo.
Mchezaji wa Tenesi Joyriia Ismail akipiga mpira wakati wa mazoezi leo.
Mchezaji wa Tenis Sarah Bura akipiga mpira.

LADY GAGA AMUANIKA MPENZI WAKE MPYA

1229_gaga_taylor_Coleman-Raynern one of the first pics of the couple in public, Lady Gaga strolled with her hot new "Vampire Diaries" boyfriend Taylor Kinney in California recently.
The couple met on the set of Gaga's video for "You and I," where Kinney played her love interest.
So far no signs of a bad romance.

BREAKING NEWS: MTANGAZAJI WA TBC AFARIKI DUNIA

Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania, TBC – HALIMA MCHUKA amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya MUHIMBILI Jijini DSM alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa kiharusi.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa TBC CLEMENT MSHANA, HALIMA MCHUKA alikimbizwa katika hospitali ya DAR GROUP na baadae katika hospitali ya Taifa ya MUHIMBILI hapo jana baada ya kuanguka ghafla akiwa katika kituo chake cha kazi eneo la PUGU ROAD Jijini DSM.
MCHUKA alikuwa mtangazajii wa kwanza wa kike wa mpira AFRIKA MASHARIKI.

Wednesday, December 28, 2011

BREAKING NEWS: SOKWE WA FILAMU YA "TARZAN" AFARIKI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 80


Cheetah the chimpanzee -- Johnny Weissmuller's sidekick in the 1930s "Tarzan" films -- passed on to the great jungle in the sky last week after suffering kidney failure ... this according the primate sanctuary that he called home.
The Suncoast Primate Sanctuary in Palm Harbor, Florida -- where Cheetah had been living since the 1960s -- made the announcement, saying, "It is with great sadness that the community has lost a dear friend and family member."
Just a few years ago, there was a massive campaign to immortalize Cheetah with a star on the Hollywood Walk of Fame ... but sadly, he was denied.
Cheetah was believed to be 80 years old.

MAFUTA YAADIMIKA MKOANI KAGERA

Hii inahusu mafuta ya Petrol kuadimika kiasi cha watu kusimamisha shughuli za maendeleo na kusaka nishati hiyo ambayo imekuwa lulu mkoani kagera.
Hii ni hali halisi juu yasakata la mafuta mjini hapa mda huu ni kituo kimoja tu kinacho endelea kutoa huduma hii ni New Ama filling Station kilichopo machinjio ya zamani barabara ya Kashozi
Foleni ya magari mda huu kuelekea kituo cha mafuta.

TRA KUZUA MSHIKEMSHIKE WA( VAT) JANUARI

Mkurugenzi wa Fedha TRA, Saleh B. Mashoro akitoa maelezo juu ya mpango wa mamlaka hiyo wa kukusanya Ongezeko la Thamani kwa wageni watakaosafirisha bidhaa za ndani kupeleka nje ya nchi
Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani, Christine Shekidele (kulia), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kususiana na Ongezeko la Thamani (VAT) na faida zake kwa Taifa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuanzia tarehe 1, Januari 2012 inaanza rasmi kushughulikia marejesho ya kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa wasafiri wakigeni wanaondoka kwenda nchi za nje kwa mujibu wa sheria ya kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT).
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Fedha TRA, Saleh B. Mashoro, alisema utaratibu huu wa kukusanya VAT umekuwa ukitumika na nchi mbalimbali duniani kutokana na ukweli kuwa VAT ni kodi inayotokana na matumizi.

Tuesday, December 27, 2011

THE ANIMAL MAGESE AWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA

Nawashuru wadau wote ambao mnatembelea blog yangu kila siku,nawapromise kuwapa vitu vinono mwaka 2012,namshukuru mungu kunipa nguvu za kufanya mazoezi niko hivi siku izi japo watu wengi hawaamini kabisa kama ndio mimi ...trust me... its me... da animal magese...unstoppable..superman..HAPpY NEW YEAR MA PIPOOOO...Gym kwa sana ...acha waongee tu midomo mali yao...

MAMBO YA TWANGA PEPETA X-MASS

Dogo Rama akikatika kwa staili yake na Maria Soloma.
Mnenguaji wa Bendi hiyo Asha Saidi 'Sharapova' akiwajibika mbele ya mashabiki zake.
Baadhi ya mashabiki wa bendi hiyo wakishuhudia kwa makini zaidi burudani zilizokuwa zikitolewa Ukumbini hapo.

SU DOWN PARTY @ COCO BEACH

Events World, Sule's Inc. & Entertainment and Blood Brothers is welcoming you to SUNDOWN PARTY - MACHWEO on the evening of 31st December 2011 at Coco beach - Tasi lounge, to watch and take memorable pictures of the last Sundown of 2011 together with Bongo movies, Bongo flavor, Hip hop artists and various other Tanzanian celebrities. WELCOME TO THE WORLD!! BE THE FIRST TO PARTICIPATE IN THIS NEW EVENT

LIL WAYNE AJIACHIA NA MCHUMBA WAKE

 
 This past weekend, Lil Weezy took time off from the studio and skateboarding to spend QT time with his girlfriend Dhea at the Lakers vs. Bulls game.  The two looked cozy courtside as they watched the Bulls take down the Lakers (88-87).  Wayne wore an animal print hoodie, paired with army fatigue shorts and snowboard boots while his girl was comfy in sneakers.
He was later spotted chopping it up with Kanye West who was there cheering on the Bulls with his father Ray West (behind him in white).