Pages
Pages
Sunday, October 31, 2010
breaking news.....
Miriam Gerald moja ya majaji wa Giraffe unique model 2010
Ratiba ya shindano la mitindo nchini Tanzania lijulikanalo kama Girrafe unique model 2010 imetangazwa leo jumapili na mkurugenzi wa Unique Entertainment Bwana Methuselah Magese.
Magese amesema jumatatu ya tarehe 1 novemba kutakuwa na mkutano wa waandishi wa habari katika hafla fupi ya ufunguzi wa Shindani hilo katika hoteli ya Giraffe ocean view iliyopo Dar es salaam.
Tarehe 20 Novemba utafanyika mchujo wa wanamitindo katika ukumbi wa Jet 1 uliomo ndani ya Hoteli ya Giaffe ambapo majaji watachuja na kupata wanamitindo kumi tu ambao watabahatika kuingia moja kwa moja kwenye kinyang'anyiro cha kumsaka mwanamitindo mwenye sifa za kipekee.
Desemba 1 kutakuwa na mkutano mkubwa wa waandishi wa habari palepale Giraffe hotel kuhusu kuwatangaza washiriki rasmi walioteuliwa na majaji,pia itakuwa ni siku ya kuwangaza wadhamini rasmi wa shindano hilo ambayo itaambatana na utangazaji wa zawadi kwa Mshindi na washiriki wengine.
Aidha Bwana Magese aliongeza kuwa kambi ya washiriki itaanza Desemba 13 katika Hoteli ya Giraffe ambapo wakuwa mazoezini chini ya matroni na mwalimu wa catwalk model hidaya.
Fainali za Giraffe unique model zitakuwa usiku wa mkesha wa krismasi Desemba 24 katika hoteli ya Giraffe ambapo show itaanza mishale ya saa mbili usiku.
Wakati huo huo wadhamini wawili wameongezeka ikiwa ni lubiarac paints na Gazeti la Jambo Leo.
..
KASORO ZAJITOKEZA UCHAGUZI 2010 MWANZA.
VYUMBA HEWAENEO HILI LILIKUWA NA VYUMBA 11 CHA AJABU NI KUWA VYUMBA 7 TU NDIVYO VILIKUWA VIKITENDA KAZI.
PICHANI UPIGAJI KURA UKIENDELEA MAWAKALA NA WASIMAMIZI WAKIWA WAMEKALIA MAWE KUJISITIRI, KASHESHE ILIKUWA WAKATI WA KUGONGA MIHURI KWENYE KARATASI ZA KUPIGIA KURA.
KWENYE MOJA YA VYUMBA VYA KUPIGIA KURA HADI INATUMU SAA NNE NA DAKIKA ZAKE MAJIRA YA ASUBUHI HAKUNA ALIYEPIGA KURA KWA KUKOSEKANA KWA SANDUKU LA KUWEKEA KURA ZA MBUNGE HALI ILIYOLETA TAFRANI KUBWA.
ASKARI WALITIA TIMU KITUO CHA UVUVI IGOGO ILI KUTULIZA GHASIA NAKUFANIKIWA KUMTIA NGUVUNI KWA MUDA MWENYEKITI WA ENEO HILO AMBAE ALISADIKIKA KUVUNJA KANUNI KWA KUWASHAWISHI WATU WALIOKUWA WAKIFIKA KUPIGA KURA KUELEKEZA KURA ZAO KWA WAGOMBEA CHAMA FULANI.
KITUO CHA MIRONGO NI NI MOJA YA VITUO AMBAVYO VILIPIGA KURA AINA MBILI TU YAANI YA URAISI NA UBUNGE ILE YA 3 YA UDIWANI HAWAKUPIGA, SABABU ZIKITAJWA KUWA NI KUCHELEWA KWA KARATASI ZA UDIWANI (KIUFUPI HAZIKUJA KABISAA). BAADAE WANANCHI WALIPEWA MAELEZO TOKA KWA WASIMAMIZI UPIGAJI KURA UKAENDELEA, HIVYO KURA HIZO KUMCHAGUA DIWANI WAO WATAPIGA BAADA YA MIEZI MITATU(MWEZI JANUARY 2011).
HUMU JOTO BALAA HAKUNA MAJI YA KUNYWA, WASIMAMIZI NA MAWAKALA WALIKUWA WAKIOMBA MUDA UISHE JIONI IFIKE.
..
..
United States - Alexandria MILLS has been crowned the 60th Miss World.
United States - Alexandria MILLS has been crowned the 60th Miss World. She won the coveted crown as Miss World 2010, triumphing out of 115 beautiful and talented young women who took to the stage of the 60th Miss World Final from the Beauty Crown Theatre in Sanya, China. As the final duty in her reign, Miss World 2009 Kaiane Aldorino removed the bejeweled crown to place it on the head of her successor as the new Miss World 2010. Taking up her deserved position on the throne, Miss World 2010 was joined by first runner-up Botswana and second runner-up Venezuela. Alexandria was almost lost for words at the excitement and emotion of the event: “It’s a cliché but this really is a dream come true,’ she said. “I can’t believe it’s happening to me. My time has come. I’m loving it!” The glittering two-hour live TV spectacular to launch the 60th anniversary of Miss World 2010 showcased the beauty and talent of 115 of the World’s most incredible young women, who have spent one month enjoying the wonders of China. Seven previous Miss Worlds from across the decades were among the judges at the live televised final: Denise Perrier Lanfranchi Miss World 1953 France Ann Sidney Miss World 1964 United Kingdom Mary Stävin Miss World 1977 Sweden AgbaniDarego Miss World 2001 Nigeria Maria Julia Mantilla Miss World 2004 Peru Zhang Xi Lin Miss World 2007 China KseniaSukhinova Miss World 2008 Russia International musical entertainment came from multi-Grammy nominee and superstar saxophonist Dave Koz, global chart-topper Shayne Ward and Puerto Rican singing sensation Carlos Aponte. The event also featured music and dance performances from Sanya, the home of Miss World in China. Angela Chow presented the show to a global TV audience. Angela is one of China’s most recognised and glamorous TV presenters who understands the status of Miss World as the co-presenter in previous years. She was joined by Miss World Event Director Steve Douglas. After the Final, the contestants attended the Coronation Gala at the Crowne Plaza Sanya, where they dined with family and new friends from around the world. Since 1 October, a record 115 contestants have been touring China. They visited Shanghai and Beijing, and saw some of the most famous ancient moments and sites, including the Great Wall of China and Genghis Khan’s mausoleum in Ordos, Inner Mongolia. They also got a taste of modern China, with a VIP visit to Beijing’s Olympic Stadium and a tour of the Shanghai EXPO. This is the fifth time that Sanya has been home to the Miss World Final, successfully hosting th...
CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO CHATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI
Thursday, October 28, 2010
KANUMBA,MIRIAM GERALD NA ALI LEMTULAH KUWA MAJAJI KATIKA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010
Mkurugenzi wa Unique Entertainment Methuselah Magese ametangaza jopo la majaji ambao wameteuliwa na kampuni hiyo kuwa majaji katika hatua ya uchujaji na fainali kwa ujumla.
Akiyataja majina hayo kuwa ni steven kanumba,Miriam Gerald,victoria martine na mbunifu mahili Ali lemtulah ambao watapata semina maalumu ya kuwanoa kabla ya kuanza kwa duru kubwa la kumsaka mwanamitindo mwenye sifa za kipekee.
Aidha Bwana Magese aliitaja kamati ya yake ni ya watu watatu ambapo meneja mradi ni Britney Urasa (miss Temeke namba mbili), meneja utawala Michael Maulus(mhariri wa gazeti la Jambo) na Methuselah Magese ambaye ni mkurugenzi wa mashindano haya.
Tunawashukuru wadhamini wote waliojitokeza na wanaoendelea kujitikeza katika shindano la GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 ambapo inategemewa kuleta mapinduzi makubwa ya sanaa ya mitindo nchini Tanzania.
......
LUNGILE RADU TO HOST 2010 CHANNEL O MUSIC VIDEO AWARDS
Tuesday, October 26, 2010
BREAKING NEWS...
CHAMACha Waandishi wa Habari za Bunge (BUPAT)
ANGELS ENTERTAINMENT KULETA THE MOST HANDSOMAN MAN KWA MARA YA PILI
Joseph rwebangira-mkurugenwa Angels Entertainment
Akiongea na Uniqueentetz blog ambayo pia ni moja ya wadhamini kufikisha ujumbe ,matukio na habari za shindano hili la kusisimu Bwana joseph Rwebangila amesema maandalizi yamekamilika na punde tu mambo yataanza kuonekakana katika vyombo mbalimbali vya habari
Fomu bado zinapatikana Identity store ,zizzu fashion victoria ,ijumba enterprises,photppoints zote, wahi mapema naeasi ni chache.
Monday, October 25, 2010
Mkurugenzi wa unique Entertainment mr.Magese ametangaza vigezo vya wasichana wanao tarajia kushiriki mchakato wa shindano la mitindo la Giraffe unique model 2010.
1.catwalk and cariage in showing-off clothes
2.photogenic
.....Tape: height 5.8-6
hips 36-37
waist 26-27
bust 33-35
3.Age 18-25
4.charm,natural and good looking
5.Intelligence and general knowledge
6.confidence
7.sex: female
8.nationality: Tanzanian
9,Appropiate behaviour in society
Mamboyameiva mchakato kuanza hivi karibuni,wadhamini wanaendelea kupokelewa
Saturday, October 23, 2010
BREAKING NEWS !!
ULINZI IMARA NA MAZINGIRA TULIVU NI MUHIMU KUFANIKISHA ZOEZI LA KUPIGA KURA.
MWONGOZO KWA WAPIGA KURA WENZANGU.OCTOBER 31 KUWAKILISHA NDIYO HOJA. KATIKA KIPINDI HIKI TUKIELEKEA KATIKA KIPINDI CHA UCHAGUZI, WATANZANIA WENGI TUMEKUWA NA WOGA HASA PALE TUNAPOKUTANA NA MAGARI MAPYA PAMOJA NA ASKARI WA JESHI LA POLISI WAKIWA NA NYENZO MPYA ZA KISASA KWA AJILI YA ULINZI NA USALAMA.
MENGI YAMEZUNGUMZWA MIONGONI MWETU LAKINI BLOG HII INAUNGANA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUWAONDOA HOFU WATANZANIA KUWA YOTE HAYA YANAFANYIKA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAKE, NA TEKNOLOJIA HII NDIYO INAYOTUMIKA KATIKA DUNIA YA SASA. AU TULIPENDA WALINZI WETU HAWA WABAKI NA VITENDEA KAZI VYA KARNE ILIYOPITA KWA KULINDA BILA VIZUIZI, ILE HALI WAVAMIZI NA MAJAMBAZI WAKIZAMA MASKANI ZETU KWA SILAHA ZA MOTO NA MITUTU YA HATARI?
KWA NYENZO KAMA HIZI HATA YULE MFANYA FUJO HATOKUWA NA JEURI KAMA VILE ASKARI ANGEMFUATA MFANYA FUJO HUYO AKA MHALIFU BILA NYENZO YAANI KAVUKAVU.
JESHI LA POLISI NI RAFIKI WA RAIA TUSHIRIKIANE NALO KUKOMESHA UHALIFU, HIVYO HATUNA HAJA YA KUOGOPA TUJITOKEZE KWA WINGI OCTOBER 31 2010 KUKAPIGA KURA.
Moussa Diawara
Thursday, October 21, 2010
Aidha kampuni ya Habari cooperation ya jijini Dar itadhamini shindano hili kwa kutoa habari za Giraffe uniquev model 2010 kupitia magazeti yake ya Mtanzania,Dimba,Rai,The African na Bingwa kwa kila tukio,tunatumaini yakwamba habari za shindano hili zitamfikia kila mtanzani.
Pia duka la nguo la Truwoths lililopo mlimani city litatoa nguo kwaajili ya washiriki siku ya shindano pamoja na blog ya uniqueentertz.blogspot.com ambayo itaandika na kuweka kila namna ya mwenendo mzima wa shindzno hili alikadhalika Giraffe ocean view hotel ndio mdhamini mkuu wa shindano hili
MSHINDI WA MILIONI KUMI SUPA PESA WIKI HII .
Mrs grace Biko akishika cheki ya milioni kumi ikwa ni mfano wa cheki kwa kiasi alichoshinda kupmchezo wa kubahatisha wa supa pesa
Supa Pesa Yamng’arisha Grace Absalom
Msambazaji wa vifaa vya ofisini na shuleni, Bi. Grace Absalom, amebahatika kuwa kati ya washindi waliojinyakulia Milioni Kumi kupitia bahati nasibu ya simu za mkononi, Supa Pesa.
Katika hafla ya kukabidhiwa hundi, Mshindi huyo alisisitiza kuwa alipata mshtuko kiasi cha kupata wasiwasi alipopata simu ya kutaarifiwa ushindi wake,kana kwamba sio ukweli yale aliyokuwa akiambiwa.
‘ Nilipata shauku sana hasa baada ya kupata simu niliyopigiwa na mtangazaji wa redio kunijulisha kuhusu ushindi wangu. Sikuamini kabisa niliyoyasikia, niliona kama ni utani mpaka kufikia kumuuliza mtangazaji huyo mara mbili mbili kuhakikisha sio utapeli. Namshukuru Mungu ikatokea ni ukweli nilipata ushindi wa Supa Pesa na papo hapo nikajawa na furaha sana.’ alisema Grace.
Grace alipokea hundi yake ya milioni Kumi katika ofisi za Supa Pesa jijini Dar es Salaam, mbele ya waandsihi wa habari pamoja na mwakilishi kutoka bahati nasibu ya taifa, Bw. Abdallah Salim.
Meneja mkuu wa Supa Pesa,Bi. Natasha Issa, akiwa anamkabidhi Bi. Grace hundi lake alisema, Supa Pesa inazidi kubadilisha maisha ya watanzania wanaoshiriki droo hiyo.
‘Ni jambo la faraja sana punde anaposhinda mshiriki wa droo hii rahisi ya Supa Pesa ,na kupata ushuhuda jinsi maisha yanavyobadilishwa siku baada ya siku kupitia bahati nasibu hii hasa kwa fedha wanazopata washindi.
Tunazidi kuwahamasisha washiriki wetu watume ujumbe mfupi wenye neno SUPA kuenda namba 15777 zaidi na zaidi ili kujiongezea nafasi za ushindi kila siku. Supa Pesa inatoa fedha taslimu Milioni Moja kwa washindi wa tatu kila siku na Milioni Kumi kwa mshindi anayeshiriki kutuma ujumbe mfupi zaidi ya mara nne kwa wiki.’
Wednesday, October 20, 2010
ALI KIBA KWENDA MAREKANI KUREKODI NA MSANII BORA WA KIMATAIFA
Kwa mara ya tatu sasa Swahili Fashion Week itafanyika Karimjee Hall kuanzi tarehe 4 hadi 6 November 2010, Dar Es Salaam , Tanzania .
Wabunifu watakaoonesha mavazi katika Swahili Fashion Week kwa mwaka huu ni pamoja na Ailinda Sawe, Manju Msita, Kemi Kalikawe, Christine Mhando, Shellina Ibrahim, Farha Naaz Sultan, Gabriel Mollel, Robi Morro, Asia Idarous, Zamda George, Khadija Mwanamboka, Jamilla Vera Swai and Made by Afrika. wabunifu kutoka Kenya ni Sonu Sharma, Moo Cow, KiKoromeo, John Kavike na Kooroo, na kutoka Uganda ni mbunifu Stella Atal.
“Pamoja na maonyesho ya mavazi, mwaka huu Swahili Fashion Week itakwenda sambamba na tamasha la maonyesho ya bidhaa mbalimbali zenye asili ya mswahili kutoka mwambao wa Afrika mashariki”. Alisema Mustafa Hassanali muaandaaji y tukio la Swahili Fashion Week.
“Tunafungua milango zaidi kwa ajili ya watazamaji wapya wa Swahili Fashion Week, amboa watapata fursa ya kununua bidhaa mbalimbali. Tamasha hili ambalo linazileta pamoja bidhaa mbalimbali za sanaa na utamaduni wa mswahili, pia litahamasisha ubunifu zaidi katika bidhaa zinazokwenda sambamba na maisha halisi ya jamii ya watu wanaoongea lugha ya Kiswahili kwa kukutana pamoja na kubadilisha mawazo na kujifunza uzoefu mpya katika masuala yanayohusiana na sanaa kwa ujumla.” Aliaongeza Hassanali.
Pamoja na maonyesho, pia kutakuwepo aina tofauti za burudani kutoka kwa vikundi
Mbalimbali vya muziki, uchoraji wa hina, usukaji mikeka, sambamba na semina za aina tofauti zitakazo washirikisha wabunifu wa mavazi.
Aidha Swahili fashion Week imeandaa aina tofauti za zawadi zitakazotolewa mwaka huu kwa lengo la kutambua na kuthamini vipaji vya aina mbalimbali vitakavyooneshwa, ikiwa ni pamoja na zawadi ya mwaka kwa mbunifu anaechipukia.
Swahili fashion week 2010 imedhaminiwa na Home of Swahili Fashion week Southern Sun, Origin Africa, USAID Compete, EATV, East Africa Radio, Malaria Haikubaliki, BASATA (Baraza La Sanaa Tanzania) Ultimate Security, Monier 2000, Colour Print ltd, Global Outdoor Ltd, Amarula, Vayle Springs Ltd, ZG Films, Darling Hair, Danish make up designs, Nipashe, Bilicanas, Perfect Machinery LTD, 1 & 1 internet solutions, Sengi Tours, Ifashion na 361 Degrees.
Global Fashion Show to benefit the Bisila Bokoko African Literacy Project .
Mwanafunzi wa Chuo Aula Milioni Moja Supa Pesa!
Monday, October 18, 2010
breaking news..!!
Udhamini wa hoteli ya giraffe katika shindano la Girafee unique model 2010 umefikia milioni 35 za kitanzania ambapo baadhi ya mambo mengine na wadhamini kadhaa wakijitokeza kudhamini shindano hilo la mitindo ambalo linategemewa kua la aina yake kwa kufungia mwaka kimitindo
Girrafe unique model ni shindano la kumtafuta mwanamitindo wa kike mwenye sifa za tofauti ikiwa na lengo kuu la kuleta mapinduzi ya mitindo nchini tanzania
Pia mbunifu wa mavazi nchini Tanzania ali lemtulah amejitokeza kama mdhamini wa mavazi na mtu atayemchukua model mmoja kama balozi wa nembo ya nguo zake zinazotegemewa kuzinduliwa mwanzoni mwa mwaka ambae atafanya kazi na mwanamitindo huyo kwa mwaka mzima ....ni kitu kikubwa sana watanzania.
WASANII WA RAGGA NA REGGAE KUTUMBUIZA PAMOJA
Msanii kutoka JAMAICA ZANZI- B
DHL WATOA VYANDARUA 1500 KITUO CHA KULELEA WATOTO SOS
Akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa vyandarua hivyo Mkurugenzi Taifa wa Kijiji hicho cha SOS, Rita Kahurananga alisema kwa niaba ya kituo,watoto na uongozi wote wa SOS wanatoa shukrani za dhati kwa DHL.
Alisema msaada huo umekuwa ukiwa ni katika mpango mkakati wa kuendeleza mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria pia wakukuwa wakihitaji vyandarua hivyo msaada huo umekuja kwa wakati muafaka .
Kahuranaga aliendelea kwa kusema kuwa vyandarua hivyo watavigawa katika vituo vyao vungine vya kulelea watoto vilivyoko Mwanza, Arusha, Zanzibar, Bagamoyo, Shinyanga na Iringa.
Wakati huohuo aliongeza kwa kusema kuwa wanampango wa kuanzisha vituo vingine vya kulelea watoto katika kisiwa cha Pemba, Mtwara, Iringa na Mbeya ambapo pia wanahitaji wadhamini wajitokeza ili kufanikisha mpango huo endelevu.
Kituo cha SOS kiliasisiwa na Herman Gmeiner ambapo kituo cha kwanza alikilianzisha mwaka 1949 nchini Australia.
SOS ni shirika lisilo la kiserikali na wenye mipango ya muda mrefu ya kuweka malezi bora kwa watoto ambao huanza kulelewa kuanzia umri wa kuzaliwa hadi wanapopata umri mkubwa huku wengine wakimudu kujitengemea ambapo inalea watoto 419 katika vituo.
Mwisho.
Mtoto Kulwa akizunguma na mimi mara baada ya kukabidhiwa vyandarua hapa akirudi darasani.
BigBrother Allstars Uti Victorious!
Katy Perry, Akon to share runway with VS models
NEW YORK – Katy Perry, Akon and model Adriana Lima in a $2 million fantasy bra are among the highlights planned for this year's Victoria's Secret fashion show.
Other models expected on the runway include Alessandra Ambrosio, Rosie-Huntington Whiteley, Chanel Iman and Candice Swanepoel. Missing from the lineup is Heidi Klum, who recently parted with the brand.The lingerie show has become a holiday tradition of sorts, with many of the catwalkers outfitted in elaborate, fanciful wings — and very little else — parading in front of elaborate sets.
The fantasy bra has become a signature, too: This one created by jeweler Damiani features diamonds, sapphires and topaz.
The show will be taped Nov. 10 to be televised in an hour-long special on CBS on Nov. 30.
wana-akudo sound wakijiachia kikwelikweli
Saturday, October 16, 2010
the most handsome man in tanzania comming soon...
mazoezi yataanza soon pale mailaika ,chukua fomu mapema nafasi ni chache.
T.I. Sentenced to 11 Months in Prison
Yahoo! Music, Oct 15, 2010 7:00 pm PDTPhotos: Random Notes
T.I. and his wife Tamika "Tiny" Cottle were arrested on September 1st after their Maybach was pulled over in Los Angeles. Police smelled pot coming from the vehicle, and a search of the car turned up multiple controlled substances. The rapper was charged with possessing ecstasy, testing positive for opiates and associating with a convicted felon.
AKUDO WAJIACHIA MARA KINOMA NOMA
AKUDO SOUND
Dolce and Gabbana accused of tax evasion: report
ROME (AFP) – Italian prosecutors have accused the fashion house Dolce and Gabbana of failing to declare revenues of around 840 million euros (1.2 billion dollars), Italy's main business daily reported on Saturday.
Investigators have closed their inquiry against founders Domenico Dolce and Stefano Gabbana, as well as five other people, but no formal charges have yet been presented, Il Sole 24 Ore said, citing prosecutors in Milan.
The allegation is that Dolce and Gabbana created a company in Luxembourg in 2004 and 2005 which was given control of the group's brands, thereby avoiding Italian taxes. The Luxembourg company, Gado, was in fact run from Italy.
The unpaid taxes amount to 420 million euros, Il Messaggero daily reported.
Italy has been cracking down on widespread tax evasion in recent months in an effort to raise government revenues following the global economic crisis.
Dolce and Gabbana was set up in 1985 and employs more than 3,000 people, with a network of 116 stores and 17 factory outlets in 2009, the group's website said.
Katy Perry, Akon to share runway with VS models
Other models expected on the runway include Alessandra Ambrosio, Rosie-Huntington Whiteley, Chanel Iman and Candice Swanepoel. Missing from the lineup is Heidi Klum, who recently parted with the brand.
The lingerie show has become a holiday tradition of sorts, with many of the catwalkers outfitted in elaborate, fanciful wings — and very little else — parading in front of elaborate sets.
The fantasy bra has become a signature, too: This one created by jeweler Damiani features diamonds, sapphires and topaz.
The show will be taped Nov. 10 to be televised in an hour-long special on CBS on Nov. 30.