Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Friday, April 30, 2010

VICTORIA CHUA AJITOA MHANGA KUWANOA MISS KILIMANJARO

                          victoria chuwa  akifundisha pozi la kukaa

Thursday, April 29, 2010

VODACOM MISS KILIMANJARO YAANZA KWA MBWEMBWE NI 28-5-2010

        Washiriki wa miss klimanjaro 2010 shindano litakalofanyi 28-5-2010 mjini Moshi ndani ya ukumbi   la liga club.majina ya washiriki;                                               wadhamini:VODACOM,REDDS,uniqueentertz.blogspot.com,KILIMANJARO HOME LODGE,GEMSTON ltd,MR. PRICE,BEN EXPERTION,PYRAMID SALON,ENTEL TRAINING CENTER,SALSANERO HOTEL,

REDDS MISS KILIMANJARO YAANZA KULINDIMA

  
Mbiombio za kumtafuta mshindi kutoka kilimanjaro katika shindano kubwa la miss Tanzania zimeanza katika mkoa wa kilimanjaro ambapo jumla ya washiriki kumi watapanda jukwaani kuwania Taji hilo may 28 2010 katika ukumbi Grand villa mjini moshi.(CLICK ORDER POST) upate more stories

Tuesday, April 27, 2010

WELCOME TO GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL DAR ES SALAAM TZ

                     Giraffe ocean view hotel located at mbezi beach in Dar es salaam Tanzania few kms from city center,welcome to see different hospitality,services, nice rooms for cheap price,conference halls,nice food & drinks.

Monday, April 26, 2010

WASHIRIKI MISS MWANZA KUTEMBELEA TRUWORTHS MLIMANI CITY

 Washiriki miss Mwanza Joyce Yohhan na Josephine Urio walivamia siku ya muungano wa jamhuri 26 may kununua nguo katika duka la TRUWORTHS Mlimani city ambapo stock mpya imeingia 25 may.Duka hili ambalo lina umaarufu wa kuuza nguo original na zenye kiwango cha hali ya kimataifa,warembo,wanamitindo mbalimbali na watu nmaarufu hujuika hapa TRUWORTH.
Miss Mwanza inaandaliwa na kampuni ya SISI ENTERTAINMENT chini ya mkurugengezi johm dotto aidha fomu za ushiriki zinaptikana BURE please call;=255786394170,=255714796622,=225755259488.kumbuka tunaendeleza miss TZ KUTOKEA kanda ya ziwa katika mkoa wa Mwanza kama kawaida yetu warembo bomba Tz nzima!(CLICK OLDER POST upate habari kemkem)

TRUWORTHS KUMPAMBA UNIQUE MODEL

                         Josephine Urio aka vilan model from uniqueentertainment,dressed new fashionable clothes from TRUWORTHS mliani city Dar es salaam tz
                Joyce Yohhan akiwa ametoka sexy na mavazi ya truworth
                                        Unique model Josephine"villan" akiwa sexy na mavazi ya Truworths

TRUWORTHS MLIMANI CITY :YASHUSHA NGUO MPYA 25 MAY


:

Friday, April 23, 2010

DO WE PROUD FOR OUR AFRICAN BEAUTY? LADIES...

   Olochi Onweagba,the nigeriaan super model,is an example of an African beauty,olochi discovered in M-Net Face of Africa,she won that prize 2005.
   Olochi born in Lagos Nigeria 1982 now she is working with Omodel in south Africa.her mother was anurse and her father was civil servant now she is super model in Africa and african BEAUTIFUL (www.olochi.com)

Thursday, April 22, 2010

TBL NA VODACOM KUDHAMINI MISS MWANZA


Kampuni Ya mawasiliano VODACOM na TBL kupitia kinywaji cha REDDS kudhamini Miss mwanza  katika shindano kubwa kuelekea VODACOM Miss Tanzania 2010 ambalo litafanyika kabla ya mfungo wa ramadhani.
W adhamini mbalimbali wanaendelea kujitokeza na watatambulishwa kupitia hapahapa http://www.uniqueentertz.blogspot.com/ ambapo wadhamini wote wataoneka hapahapa mpaka mwisho wa fainali za miss Tz.Miss MWANZA ITAFANYIKA 4-6-2010 jijini mwanza, CLICK OLDER POST upate habari kemkem.

WADHAMINI WAJITOKEZA MISS KILIMANJARO

  Wadhamini wa shindano la kumtafuta Miss Kilimanjaro 2010 wameanza kujitokeza ambapo idaddi inaongezeka siku hadi siku ambapo fainali zitafanyika 28 june,2010 katika ukumbi wa grand villa mjini moshi.
    Wadhamini waliojitokeza ni VODACOM,TBL(redds),GEMSTON ltd,KILIMANJARO HOME LODGE,MR.PRICE,BEN EXPERTION,PYRAMID SALON,INTER TRAINING CENTER,SAL SANERO HOTEL NA  http://www.uniqueentertz.blogspot.com/

TMG YAFUKA MOSHI

  Muungano wa wanamitindo Tz (TMG) chini ya mkurugenzi Ally Model umelalamikiwa na wanamitindo wadogo kua wao hawapewi dili'michongo inafanywa na mamodel wenye majina tu.
  Mkurngenzi msaidizi wa TMG Bwana michael alijibu tuhuma hizi kwa simu ambapo Ally model hakupokea simu kwa takribani wiki nzima.
  Michael aliiambia uniqueentertz.blogspot.com kua muungano huo bado haujaanza kutoa dili bali kila model anafight kivyake kitendo kinachowaboa wanamitindo wachanga hata show hawapati ila wanawaona mabosi wao wanazidi kutoka.Michael anawataka wawe wavumilivu kwani mapinduzi hayaji kama mvua.

Tuesday, April 20, 2010

uniqueentertz.blogspot.com kudhamini UMISS

   Blog ya uniqueentert.blogspot.com kudhamini mashindano ya "Umiss" ambayo ni miss Mwanza 2010 na miss Kilimanjaro 2010.
   Ewe ndugu mtazamaji tangaza biashara yako kupitia mashindano haya makubwa kabisa kwa kudhamini shindano ama kuapear kwenye blog maana blog hii itatajwa kama mdhamini rasmi wa mashindano haya kupitia Magazeti,Radio na TV .Tunategemea kuwa na maelfu ya watizamaji verry soon kwa maana imeanzishwa 1-4-2010 tu lakini ina watizamaji wengi ndani na nje ya tz.
  Kumbuka kuklick OLDER POST upate habari kemkem.KARIBUNI

Sunday, April 18, 2010

MISS MWANZA NA MISS KILIMANJARO KUTANGAZA UTALII WA NDANI

     Mashindano makubwa ya umiss,Miss Mwanza na Miss kilimanjaro ambayo mshindi anaingia kwenye ngazi ya kanda hatimaye Miss Tanzania,utapata habari zake kupitia hapahapa http://www.uniqueentertz.blogspot.com/ ambapo kilimanjaro ni 28-5-2010 na Mwanza ni june 4,2010

KANUMBA SASA LIVE ! LIVE!

The great Stiv Kanumba akijimwayamwaya katika fukwe za pembezoni mwa jiji la Dar es salaam na totooz katika filamu ya PAY BACK,omming soon!

SUMMER TYM IN AMERICA

Friday, April 16, 2010

NEW MODEL FROM TANZANIA

                                             MARIAM RABII

UNIQUE MODEL

                                                         josephine A.K.A villan



             

AMERICAN TOP FASHION MODELs

                              1 Adrian Lima-Brazilian       2 Gissele Bundchiem    3  Heid Klum-Brazilian

RICHARD B4 BIG BROTHER

Movie star Richard Bezuidenhout kabla ya kwenda Big Brother alikua model anaetikisa pande za mitindo aidha aliwai kushika nafasi YA pili katika mashindano ya mitindo Tz 2006 SUPER MODEL

Thursday, April 15, 2010

KANUMBA AZUA BALAA JINGINE!

 The Great Kanumba  ndani ya nmovie mpya inayoitwa PAY BACK,ni moja ya wagizaji mahilibarani Africa

JE MTARIMBO WA MWNYI UTAMFIKISHA?

  Mwanamitindo Handsome boy Mwinyi Ahmed Anaetamba na Kibao MTARIMBO ameanza kuipa kisogo fani ya miyindo ambayo imempa jina kubwa nchini Tanzania.
  Hii ni kutokana mafanikio makubwa anayoyuapata toka machozi Band,je huu ni mwanzo wa misho wa mwiyi nkwenye game la fashion ama ndoto zake zitatimia kwenye muziki?

YUSUPH MLELA ABAMBWA LIIVE!!

  Yusuph mlela abambwa live aki..... katika moja ya scene kwenye movie mpa ya PAY BACK

Tuesday, April 13, 2010

UNIQUE MODEL 2009\2010

                                             JOSEPHINE URIO
  Best model from Unique Eentertainment,if you want to use this model please email us uniqueentertz@yahoo.com 0714796622.

Monday, April 12, 2010

LIYA KABEDE

                                      Ethiopian super model

TMG YAANZA KUMEGUKA

   I kiwa siku chache tu baada ya kuanzishwa kwa muungano wa wanamitindo Tanzania(TMG),mdudu wa fitina ameanza kuimega crew hiyo baada ya kumwagwa baadhi ya models.
    Mkurugenzi wa TMG Ally Hassan aisema kuawa kumwagwa kwa models hao ni kutokana na nidhamu mbaya na kutohudhuria vikao.
     Wakati huohuo modwaliomwagwa wanadai kutotendewa haki kwani walishiriki kwa hali na mali kuhakikisha TMG imefika hapo leo iweje wkirahisi tu.
  

EDDY MODEL KUTIMKIA CANADA

  Meddel maarufu nchini Tanzania Edward Msilanga a.k.a Eddyville aeiambia uniqueentertz.blogspot kua yuko katika maandalizi ya mwisho kuelekea nchini Canada kimasomo na shughuli za mitindo.
   Eddy model mwenye mvuto wa kipekee na umbo la kumvutia kila mwanadada(sex boy).mbali na mitindo eddy ni professional journalist na mbunifu wa mambo makubwa nje ya tanzania,All da best hommie

COPY YA JIDE YAINGIA KWENYE MITINDO

Mwanamitindo chipukizi anaekuja kwa kasi ya ajabu katika fani ya mitindo na muziki Grace David mwenye mvuto unaoendana kama binti machiozi jide

TZ TOP BEAUTIFUL

Friday, April 9, 2010

SLYVIA MASHUDA NDANI YA KITABU

        Mrembo Slyvia Mashuda ameamua kurudi shule baada ya kuachana na kitabu kwa muda akifanya shuguli za urembo, Hivi sasa ni mwachuo wa chuo kikuu cha tumaini akichua shahada ya mass communication and public relation.

MR. HANDSOME 2009 AJIKITA KWA MZUNGU

       Kijana mtanashati tz Kharid Mohamed amejikuta katika wakati mgumu baada ya watanzania wengi kushuku uhusiana wake na mwadada mwenye asili ya magharibi unashusha kipaji chake cha uwanamitindo kwakuwa anatumia muda mwingi kuenzi penzi kinyume na matalajio ya wadau wengi kuwa angetumia muda huu muhafaka kujitangaza katika fani ya mitindo.

Wednesday, April 7, 2010

MISS TANZANIA ATOBOA SIRI NZITO

 Miss tz 2009-2010 Miriam Gerald mlimbwende mwenye wingi wa haiba ametoboa siri nzito kuhusu swala la misosi kuwa anafagilia sana kula Ugali na Dagaa wa ziwvictoria.
  Miriam aliieleza uniqueentertz.blogspot.com kua yeye yuko tofati na mamiss wengine ambao wakipata majina makubwa wanakataa vyakula vya asili kama ugali mlenda,makande n.k.
 mbali na chakula anapenda skin jeans,top kuacha mabega wazi na high hills pia hana maringo kama mastaa wengine ..mmhhh  hivi ndo vitu vya mwanza NANI ATARITHI HII TABIA YA UKARIMU JUNE 4 2010

MISS MWANZA YAANZA KUSISIMUKA...!!!!

                                                                   Joyce yohannah
Baadhi ya warembo wanaotarajia kuwania taji la miss Mwanza wameanza kuomba nafasi za kuchuana ambapo inaaminika mkoa huu ndio uko juu kwa kutoa warembo bora tz.
Tutawatambulisha mmoja baada ya mwingine kadri siku zinavosogea. STAY TUNED