Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, December 8, 2010

WASHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 (HOT GIRLS IN TOWN)

Carina suleiman
Christina Peter

Bilkis Suleiman

Asia Dachi


Mariam Rabii

Caroline Mwakasaka

Dorah Mhando

Neema Silvery

Ritha Samuel

Diana Hamson
"WO BECOME UNIQUE MODEL OF THE YEAR 2010"?

HIVI NDIVYO VIFAA VITAKAVYOCHUANA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA KUPATIKANA KWA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 LITAKALOFANYIKAKATIKA HOTELI YENYE HADHI YA NYOTA NNE YA GIRAFFE OCEAN VIEW TAREHE 24 DESEMBA 2010.HOTELI HIYO IPO KUNDUCHI,JIJINI DAR

SHINDANO HILI LINAKUJA KWA UDHAMINI MKUBWA WA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL,CHANNEL TEN,GLOBAL PUBLISHERS,ROBBIAC PAINTS,ALI REHMTULLAH,MTAA KWA MTAA BLOG PAMOJA NA UNIQUE ENTERTZ BLOG.


HAPPY INDEPENDENCE DAY!

LEO ni siku ya Uhuru wa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika. Watanzania wote wanaadhimisha uhuru wa Tanganyika kutimiza miaka 49 tangu wakoloni wa Uingereza walipokabidhi hatamu za uongozi wa taifa hilo, ambalo sasa linajulikana kama Tanzania Bara, kwa wananchi wenyewe, Desemba 9, 1961. Maadhimisho ya siku hiyo yanawapa nafasi na changamoto kubwa Watanzania za kutafakari walikotoka, walipo na wanakokwenda li kuona wapi walikosea, kuteleza au kufanya vizuri, na kupanga mikakati ya kuondoa kasoro na kuweka mipango madhubuti zaidi ya kuendelea kulijenga taifa lao.

 

 WADAU WA MAVAZI KARIBUNI KWENYE JUKWAA LA UNIQUE MODEL MJITANGAZE KATIKA HARAKATI HIZI ZA MAPINDUZI YA MITINDO TZ
 wabunifu na wadau wa mavazi karibuni mjitangaze kwenye jukwaa la Giraffe unique model 2010 kwani itakuwa baabkubwa, ni bonge la show ambalo litakusanya wakali wa fashion hapa Tanzania.

Mduka ya nguo maarufu,wabunifu,wadau wa mitindo na bidhaa zote za mitindo karibu mjitangaze kwa kuonyesha bidhaa zenu kupitia mamodo unique siku ya show 24 Desemba katika hoteli ya Giraffe ocean view hotel kuanzia mida ya saa mbili usiku.

KUWASILI KWA KWA MSECHU DAR

abiria ndani ya uwanja wa ndege
                        Baada ya kuwasili uwanja wa ndege alipokelewa na Kaimu katibu mkuu wa wizara ya habari vijana utamaduni na michezo HERMANS MWANSOKO katikati
                                Msechu akiwa na mpenzi wake baada ya kuwasili uwanja wa ndege Jijini DSM
                                   Baada ya kupokelewa na viongozi kutoka serikalini
                                     MSECHU alipokuwa nje ya uwanja wa ndege vijana walimpokea

                                     

Monday, December 6, 2010

WASHIRIKI KUINGIA KAMBINI DESEMBA13 GIRAFFE HOTEL

   
 Washiriki wa shindano la kumsaka mwanamitindo mwenye sifa za kitofauti zinazidi kupamba moto siku hadi siku baada ya washiriki kusubiri kwa hamu tarehe ya kuingia kambini kwaajili ya mchuano wa kuwania taji hilo litakalofanyika desemba 24 mwaka huu katika hoteli ya Giraffe hotel iiyopo jijini Dar es salaam.

  Jumla ya washiriki kumi watakaoingia kambini ni Ritah samweli,dorah mhando,asia dachi,christina peter,diana hamson,neema silvery,bilkis suleiman,carina suleiman,mariam rabii na caroline makasaka.

 Hidaya meeda ndiye matroni wa mamodo hao wakisimamiwa na mwalimu wa dance mkwame mtaalamu wa dance  toka chuo cha sanaa bagamoyo .

  Giraffe unique model 2010 imedhaminiwa na Giraffe ocean view hotel,global publishers,channel ten,robialac paints,Ali lehmtulah,uniqueentertz blog na Mtaakwamtaa blog.

Sunday, November 28, 2010

WASHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 KUWEKWA HADARANI DESEMBA1

Unique Model Event Comming Soon!!   WASHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 WANATEGEMEWA KUWEKWA HAFDHARANI SIKU YA JUMATANO HII KATIKA HOTELI YA GIRAFFE OCEAN VIEW MBELE YA WAANDISHI WA HABARI KATIKA PRESS CONFERENCE YA KUTAMBULISHA WASHIRIKI NA WADHAMINI.

KOCHA WA NGUMI AKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO


MDAU WA MICHEZO AMKABIDHI VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI KOCHA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' KWA AJILI YA KUENDELEZA MCHEZO HUO KWA VIJANA WASIO NA VILABU NCHINI.


Kampuni ya IRO & STEEL LTD, ALTAF& CO.PK inayojishughurisha na utengenezaji wa vyuma leo imemkabidhi kocha na mdau maarufu wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' vifaa michezo vyenye thamani ya laki tatu na hushee kwa ajili ya kuuendeleza mchezo wa ngumi.

Akizungumza na waandishi wa Habari Dar es Salaam leo wakati wa hafla hiyo, Mdau binafsi na Engeneer wa kampuni hiyo, Zulfiqal Ali alisema wameamua kutoa vifaa hivyo ili kuuendeleza mchezo wa ngumi kwa vijana hasa wa kujitegemea na kuunga mkono jitihada za Rais Jakaya Kikwete kwa kuwa mstari wa mbele katika kuendeleza michezo. .

Vifaa hivyo ni Groves pea nane, fulana mia sita za kufanyia mazoezi , pamoja na kamba nne za kuruka wakati wa kufanya mazoezi

Alisema kutokana na idadi kubwa ya vijana kupenda mchezo huo na kukabiliwa na tatizo la vifaa, mdau huyo ameona aweze kumsaidia kwa kumpatia vifaa kocha huyo ambaye anatoa mafunzo kwa mabondia wa kujitegemea katika ufukwe wa Coco Beach siku za Jumamosi na Jumapili.


"Baada ya kuwa nimeona juhudi za Mhamila 'Super D' ambaye siku za nyuma alikuwa bondia hapa nchini na alizichezea timu mbalimbali nimeamua kumwongezea nguvu ili aweze kufanya kazi hii kwa mafanikio lakini pia hapa tunaunga mkono juhudi za Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete katika kuthamini na kuendeleza mchezo hapa nchini,." alisema Zulfiqal.

Wednesday, November 24, 2010

SIKU YA MCHUJO WA PILI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010

Hii ndio top 15 ya mamodo wakali Tanzania kwa mwaka 2010-ambao wakipozi kwaajili ya picha kabla ya mchujo
Baadhi ya wanamitindo wakipata chakula cha mchana katika hoteli ya Giraffe ocean view hotel,michael maulus meneja utawala wa unique Entertainment akijichanganya na mamodo katika menyu.

Mkurugenzi wa unique E
Upande wa chakula ulikuwa namna hii full kujichana mwanzo mwisho katika ukumbi wa Jety one ndani ya Giraffe ocean view hotel.
Na hii ndiyo drem team ya Giraffe unique model 2010,jumla ya washiriki kumi waliopita mchujo wa kuingia katika mtanange wa 24 desemba .
majina ya wanamitindo waliopita ni Dorah mhando, purity walele,asia dachicalorine mwakasaka,diana mainason,mariam rabii,ritah samwel,carina suleiman na bilkis suleiman

Monday, November 22, 2010

SIKU YA MCHUJO WA AWALI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 KATIKA HOTELI YA GIRAFFE OCEAN VIEW



KIDUKU CHAWATOA ROHO WATOTO


Watoto wa wafanyakazi wa benki ya TIB wakishindana kiduku katika fukwe za south beach-kigamboni

BOZI BOZIANA ATUA NCHINI KUREKODI NA TWANGA PEPETA



                              Waandishi wa habari wakimsubiri BOZI BOZIANA
Mwanamuziki nguli wa JAMUHURI ya KIDEMOKRASIA ya CONGO, BOZI BOZIANA amewasili nchini kwa ziara kikazi katika kuzikonga nyoyo za wapenzi wa muziki wa dansi kwa kushirikiana na bendi ya AFRICAN STARS,ama  TWANGA PEPETA.

Meneja wa BOZI BOZIANA GODRICK NUNI na Mkurugenzi wa bendi ya TWANGA PEPETA ASHA BARAKA wanasema mwanamuziki huyo mkongwe  atakuwa hapa nchini kwa  muda wa wiki moja na atarikodi nyimbo na bendi ya AFRIKAN STARS.



UMEZALIWA TAREHE MOJA NA CALVIN KLEAN ALIYEZALIWA 19NOV1942 HUYU NI MBUNIFU MAARUFU WA MAVAZI NA MITINDO LEBO YAKE (CK) IKITHAMINIKA NA KUTAMBULIKA KONA NA KONA ULIMWENGUNI.