
Kambi hiyo itakuwa ni ya wiki mbili ambapo washiriki wanaingia ktarehe 13 desemba na kutoka siku ya krismas asubuhi 25 desemba baada ya kumalizika kwa shindano hilo usiku wa tarehe 24 siku ya mkesha wa krismas.
Nia na madhumuni ya kuweka kambi ni kuwakusanya washiriki wakae sehemu moja kwaajili ya kuchuliwa kimitindo,kuondo usumbufu wa kuwakusakusanya kila siku,kupewa kanuni za kutunza urembo wao wakiwa wanamitindo na pamoja kuwafunza namna ya kuishi na jamii,catwalk,dance,michezo,maadili na kutembelea sehemu mbalimbali ya jiji la Dar es salaam kujifunza na kujionea mambo kadhaa ambayo hawakuwai kuyaona wakiwa nyumbani.
No comments:
Post a Comment