Bondia Suma Ninja kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka katika ukumbi wa vijana socil hall morogoro Cheka alishinda kwa k,o ya raundi ya kumi mpambano huo.
Bondia Cosmas Cheka kushoto akioneshana umwamba na Suma Ninja wakati wa mpambano wao uliofanyika jana morogoro cheka alishinda kwa k,o ya raundi ya kumi
No comments:
Post a Comment