Kwa
Tanzania tumeanza kuona matunda ya muziki wa Bongo Flava kipindi hiki
kwa kuzingatia kuwa mwanzoni watu walikuwa wanalipwa hadi 50,000 kwa
show moja lakini sasa wasanii wanachukua hata zaidi ya milioni 5 kwa
show ya ndani.
Anasema aliwekeza kiasi cha $50,000 katika label hiyo awali na sasa Davido anapiga kiasi hicho kwa show moja tu.
No comments:
Post a Comment