Hapa ndipo jeneza lililobeba mwili wa Marehemu George Tyson litakapoka a kwa ajili ya kuagwa.
Utaratibu
huu umeandaliwa katika viwanja vya Leaders Club kwa lengo la kuwapa
fursa wakazi wa jiji la Dar es Salaam kupata nafasi za
kuuwaga mwili huo kabla ya kusafirishwa.
Ilikuwa majira ya saa kumi na moja
alasiri katika hospital ya Aghakan ndipo mwili ulihamishiwa baada ya
kutoka hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni. Pichani juu ni gari
maalumu la kubeba maiti na hapa lilikuwa likisubiri mwili wa mpendwa
wetu Geogre Tyson tayari kwa safari ya kuelekea nyumbani kwake Mbezi
Beach Makonde.
Pichani ni wafanyakazi wa TV1 wakiwa wanausubiri mwili kutolewa nje.
Mpendwa wetu akiwa ametulia kwenye nyumba yake ya milele.




No comments:
Post a Comment