Fanny Neguesha akiwa amevaa jezi kama anayovaa mpenzi wake Mario.
Mshambuliaji wa Italia na AC Milan, Mario Balotelli akiwa na mpenzi wake, Fanny Neguesha aliyemvisha pete.
Mshambuliaji wa Italia na AC Milan, Mario Balotelli akiwa na mpenzi wake, Fanny Neguesha aliyemvisha pete.
MSHAMBULIAJI
wa Italia na AC Milan, Mario Balotelli ametangaza kumchumbia mpenzi
wake, Fanny Neguesha kuelekea mchezo wao wa ufunguzi wa Kombe la Dunia
dhidi ya England mjini Manaus.
Mchezaji
huyo mtata wa AC Milan amethibitisha hilo katika ukurasa wake wa
Instagram kwa kuposti picha ya mkono wa mpenzi wake huyo ikiwa na pete
ya uchumba jana jioni.
Balotelli ameambatanisha picha na ujumbe usemao: "Amesema ndiyo.. Ndiyo muhimu zaidi katika maisha yangu. Hilo ndilo lilikuwa swali langu! Nakupenda, na furahia siku ya kuzaliwa kwao pia! Je t'aime my WIFE'.

No comments:
Post a Comment