
Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa
presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na
kupelekwa Muhimbili.
Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha
kifo cha Mzee Small. Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali pema Peponi-Amina.
Waombolezaji
wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small'
aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment