Rais
Jakaya Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Mzee Small eneo la
Tabata, Mawenzi Dar kuwapa pole wafiwa. Kulia ni Rais wa TAFF, Simon
Mwakifwamba.
Msanii mkongwe wa maigizo, Mashaka akiwa msibani na Zamaradi Mketema.
Wasanii wa Bongo Muvi, Shamsa Ford, Shija Deogratius, Cathy na Sandra wakiungana na waombolezaji.
Mohammed Fungafunga 'Jengua' akiwa msibani.
Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba akibadilishana mawazo na Habib Mrisho 'Sumaku'.
Rais Kikwete akiondoka baada ya kuwapa pole wafiwa.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete
amewasili nyumbani kwa marehemu Mzee Small, Tabata, Mawenzi jijini Dar
na kutoa pole kwa wafiwa. Baada ya kutoa pole Rais aliaga na kuondoka huku akiacha umati wa
waombolezaji waliokuwa msibani hapo wakisubiri kumpumzisha Mzee Small
katika nyumba yake ya milele.
No comments:
Post a Comment