RAY C ambae ni mwanzilisha na mkurugenzi wa RAY C FOUNDATION...kwakile anacho kifanya katika kuelimisha jamii juu ya madhara ya MADAWA YA KULEVYA.
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM leo ameshare nasi harakati zake katika shule ya secondary ya Kinondoni Musli....Jana alikuwa Makongo.
No comments:
Post a Comment