Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, January 19, 2011

RIPOTI YA UMEME WA UPEPO YAKABIDHIWA LEO

picha ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Sino Tan Renewable Energy, Alex Lema akimkabidhi Kaimu wa Kamshina wa Madini ripoti ya upembuzi nyakinifu kuhusu mradi wa umeme wa upepo wa MW 100 wenye thamani ya dola za Mareakani milioni 150,ambao ujenzi wake unatarajia kuanza Septemba 2012 na umeme wake kuanza kupatikana Februari 2013.Mradi huo utasaidia kupunguza tatizo la kukatika kwa umeme kwa asilimia 10.

TIGO TANZANIA LAUNCHES HIGH SPEED INTERNET BASED ON THE LATEST 3.5G DATA NETWORK

Tigo the leading most affordable mobile network in Tanzania, has launched Tigo Internet that is based on the latest 3.5G technology and will offer its customers the fastest and most reliable internet services in Tanzania.
The Tigo Internet is a user friendly service that allows one to browse the web, access social networks, download and listen to music, watch videos at the touch of a button. In addition, Tigo Internet is offered in packages that meet the different internet needs of its customers. These packages allow all our customers to experience world class mobile services at the most affordable prices
Speaking at the launch of Tigo Internet, Titus Kafuma, Tigo Internet Commercial Manager said, "We at Tigo are committed to offering our customers the full range of wireless communication, and Tigo Internet is a stride in bringing the world closer to our customers. We are rapidly changing the way our customers experience their wireless communications as we continue to shape the future of mobile and broadband connectivity in the in the telecommunications industry. He added, "This is yet another value-adding service at affordable rates, benefiting our customers."
The Tigo internet packages include:
* Tigo Light for general surfing: checking emails, blogs, Facebook and other social networks.
* Tigo Standard Offering faster surfing and extra speed for a longer time, to surf the web, download music and watch videos online.
* Tigo Max for people that want to get the fastest surfing and downloading speed, having the ultimate Internet experience.
Tigo is rapidly consolidating its leading position as a multiservice provider, leading by innovation and implementing the latest technologies, a process that started last year with the launch of a robust mobile money service "Tigo Pesa", also with the expansion of network capacity, and now the launch of the first 3.5G network in Tanzania that will provide affordable and reliable internet access.

BIG BROTHER ALL STARS…THE JOURNEY CONTINUES

91 days of action, drama and entertainment…and when M-Net’s Big Brother All Stars drew to a close in 2010, fans of the continental reality series kept asking … would the romances, relationships and friendships survive outside the famous Big Brother Africa house?
This month, on Friday January 14, DStv audiences tuned in to M-Net East (22:30 EAT) will get a chance to catch up with the five housemates who played the game to the end – when BIG BROTHER AFRICA: THE JOURNEY reunites Lerato Sengadi (South Africa), Munya Chidzonga (Zimbabwe), Mwisho Mwampamba (Tanzania), Sheila Kwamboka (Kenya) and series winner Uti Nwachukwu in a special edition reunion show.
Join series presenter IK Osakioduwa as he jets off to visit with each of the five housemates in their home countries to see what they’ve been doing since the show ended, and how life has changed for them since their appearance on the show. In addition, BIG BROTHER AFRICA: THE JOURNEY will see all five housemates join IK in a studio in Johannesburg to talk about the show, its effect on their lives and what their plans are for the future.
BIG BROTHER AFRICA: THE JOURNEY will be re-screened on Sunday January 16 on M-Net East (18.00 EAT) and M-Net West (20.00 EAT). The program will also be screened on AfricaMagic (Monday January 17 at 21:00 EAT), AfricaMagic Plus (Tuesday January 18 at 22.45 EAT) and MagicWorld (Tuesday January 18 at 17.55 EAT). For more information on M-Net channels and programs, log on to www.mnetafrica.com

Tuesday, January 18, 2011

SWAIBA NA ASIA IDARUS NDANI YA WASHINGTON DC

THE GREAT IN U.S.A

The great kwa sasa yuko Marekani kwa mapumziko mafupi na katika pitapita nikakutana na dada yetu mbunifu maarufu wa mavazi nchini Asia Idarus maeneo ya Washington akiwa na mmewe tukapata picha ya pamoja.

GUCCI"S NEW CELTIC DANDY

Milan – Hirsute yet refined, polished but still raffish and even a tad louche, Gucci unveiled a new modern dandy Monday, Jan. 17, in its latest menswear show in Milan, when the famed Florentine brand looked north to Scotland for inspiration.

"I had in my mind Rod Stewart, someone so vain, so precise in his look. That's why I call this collection Modern Dandy," explained Gucci's creative director Frida Giannini backstage after the show.
There wasn't a slip of tartan on the runway, yet the legendary Scottish rocker's easy rascal look was all over the catwalk - from his giant '70s era lapels to his mop-top hairstyle. The models were so shaggy haired, they looked like they had been given hair extensions, a suggestion Giannini was keen to deny.
Not that this collection was anything other than luxurious, like the ostrich skin putty gray trench coats and alligator blazer to the uproarious beaver trench and Mongolian lamb coat.
But this fall 2011 collection's most iconoclastic moment was the whole new suit Giannini sent out. Milan has been dominated with low crotch but tight leg pants and narrow wee jackets for a half decade now, but Gucci proposed flared trousers, paired with nipped at the waist, wide lapel jackets, for a smart reinterpretation of the classic playboy rocker suit.
Giannini also tapped into several big Milan trends - the return of mohair New Wave sweaters, albeit with horizontal blocks of color and the almost-at-the-ankle great coat.
Under her reign, Gucci has been all about riffing on the brand's craftsmanship heritage and she played a couple of strong, fresh chords with the first masculine bamboo bag - the house's defining object though with a blackened handle to keep it gutsy. Also on display were great new weekend bags, boasting a new double GG after the label's founder Guccio Gucci. Though this logo came with the two Gs separated and not intertwined as they were in the locked double G symbol as seen on the gray carpet that was this show's catwalk.


WEEKEND IN MILAN
BURBERRY PRORSUM, Dolce & Gabbana and Roberto Cavalli sent their menswear designs on to the catwalk on Saturday as Milan Menswear Fashion Week got underway.
SEE ALL THE MENSWEAR SHOWS HERE
Bright peacoats - and cowhide collars, bags and hats - peppered a Burberry Prorsum menswear collection that was much more colourful than usual. Dolce & Gabbana, on the other hand, chose just one colour to enliven a monochrome collection: red. From tomato brocade tailoring and scarlet striped jumpers, to plum leather jackets and maroon denim, the designers were well red for autumn/winter 2011-12.

welcome to GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL

MZEE MANDELA AVUMISHIWA KIFO...!

Habari zimetapakaa kutoka Johannesburg nchini Afrika kusini zikidokeza kuwa , uvumi umezagaa jijini humo kuwa Raisi wa zamani wa nchi hiyo Mzee Nelson Mandela yu taabani anaumwa na hali yake ni majaaliwa.Msemaji wa mfuko wa Nelson Mandela Sello Hatang amekanusha taarifa hizo siku ya jumamosi na kusema Mzee Mandela mwenye miaka 92 alikuwa katika mapumziko na mkewe Graca Machel na kwamba walikokwenda na wanachokifanya ni siri yao wawili na ni haki ya faragha kwa kila mwanadamu nayo inapaswa kuheshimiwa.

Hata hivyo kuna habari kuwa hali ya mzee huyo imezorota mno na wengine wamekuwa wakiwasiliana wakisema kuwa amekufa jambo ambalo limekanushwa vikali na watu wake wa karibu.

Hata hiyo vyanzo vya uhakika vilivyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini humo vimeonyesha kuanza kukubaliana na uvumi huo.

KUIONA ATLETICO PARANAENSE YA BRAZIL TSH.200,000/= UWANJA WA TAIFA



KIINGILIO cha juu cha mechi baina ya Atletico Paranaense ya Brazil kimepangwa kuwa sh.200, kwa jukwaa la VIP A, huku VIP B watalipa sh.100,000, VIP C sh.50,000 na watakaokaa viti vya rangi ya chungwa watalipa sh. 10,000.

Timu hiyo kesho itacheza na Yanga katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kabla ya kucheza na Simba jumatano katika uwanja huo.Mechi zote zitapigwa saa kumi na moja jioni.

KIKWETE AzINDUA SHULE YA MSINGI WILAYANI BAGAMOYO

RAIS Jakaya Kikwete akisalimiana na wanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Msoga, ambayo imejengwa kwa msaada wa serekali ya China. Kikwete alikagua madarasa baada ya kukabidhiwa shule hiyo na Kaibmu Balozi wa China nchini,Fu Jijun, katika kijiji cha Msoga, Wilayani Bagamoyo, Mkoani Pwani jana

MCHEZO WA BAO WAPATA VIONGOZI

Rais wa shirikisho la mchezo wa bao katikati MONDAY LIKWEPA pamoja na wajumbe  \

Baada ya kutokea kwa simtofahamu katika chama cha mchezo wa bao kutoka na kutokuwa na viongozi wanotambulika na Baraza la michezo nchini Taifa limeteuliwa viongozi wapya wa kuendesha mchezo huo.

Akijitambulisha mbele ya waandishi wa habari Mwenyekiti mpya wa shirikisho la mchezo wa boa TANZANIA (SHIMBATA) MONDAY LIKWEPA amesema kuwa wafurahi kuundwa kwa shirikihso hilo ambalo mchakato wake umechukua muda mrefu mpaka kukamilika.

Likwepa amesema kuwa shirikihso hilo limesajiliwa  na baraza la mcihezo nchini BMT  ambapo amesema wanatarajia  kuanza michezo ya ndani na nje ya nchi.

Sunday, January 16, 2011

TERESA SCANIAN AWA MISS AMERICA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDLHruxJtVZtM8VXNlrGp3Hb8ZPfHFgz27iriAAhEa7itrXb320ISt-m_YGqN5iQeirEpQqLSOWbGW2wZpzjvsDTU30q3YAb7rfl9RlMoI9DCon4a66jYsXM07pXTIUjU-xGNjN2psIu4G/s1600/t1larg.missnebraska.gi.jpg

MASTAA WAPAMBA ONYESHO LA B-BAND THAI VILLAGE


Rais wa bendi ya B- Band Mzee Zahir Ally Zorro (kushoto) akiwa katulia kiaina huku shoo ikiendelea kusongesha huko jukwaani. Ni jana katika ukumbi wa Tai Village maeneo ya Oyster-bay ambapo Banana Zorro alifanya mambo makubwa na The B-Band

Msanii Khalid Mohammed TID nayeye alikuwepo kumpa sapoti Banana usiku wa jana.Hapa chini TID yupo na rafiki yake wa muda mrefu, mara kwa mara huwa nakutana nao usiku , jana TID hakunywa pombe kabisaa! Ulikuwa ni mwendo wa soda aina ya Fanta!


Hapa chini ni galacha Mafumu Bilali Bombenga . Huyu ni mwanamuziki mkongwe.

BONDA ARTS PRODUCTION YAZINDULIWA DAR

Kutoka (kushoto) msanii wa muziki wa kizazi kipya Jaffaray, Mkurugenzi wa kampuni ya Bonta Arts Production, Davis Patrick, Producer wa filam katika kampuni hiyo, David Eric, wakionyesha nembo za kampuni hiyo katika Tisheti ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampuni hiyo ya kuandaa Filam iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam

  HOUSE NUMBER FORTY FOUR YAZINDULIWA DAR

                     BABY MADAHA akiwa na msanii JACK wakati wa uzinduzi wa filimu ya NUMBER FORTY FOUR ,BABY ni mmoja wa washiriki katika filamu hiyo

Wednesday, January 12, 2011

usiku wa bendi ya AFRICAN STARZ

mambo yalmpwitompwito Ndani ya mzalendo pub ...full bata

MIAKA 5 YA THT

aAAAA hivi ndivo mambo yalivokuwa
                                  Kaaida ya waanii kuja na mapya kila kukicha....tht hawa

Mabalozi haoooo.........!!!

Saturday, January 8, 2011

SWAIBA KAPATA TUZO YA ZIFF

tunakuaminia jembe letu umetisha......... chembe kidevu lazima wakae  !!

ALIYEJICHOMA MOTO KUPINGA UKOSEFU WA AJIRA AFARIKI.

Muhitimu wa chuo nchini Tunisia ambaye aliamua kujitoa mhanga kwa kujichoma moto akipinga kukosekana ajira nchi nzima katika taifa hilo la Afrika Kaskazini amefariki dunia.Mohamed Bouazizi (26) alifariki dunia juzi jioni hospitalini nje kidogo ya mji mkuu wa nchi hiyo, Tunis. Kabla ya kifo chake jamaa huyo alikuwa akiuza matunda na mboga mboga kinyume cha sheria katika mji wa sidi Bouzid baada ya kukosa ajira. Mwezi uliopita aliamua kujimwagia mafuta ya petrol na kujitia kiberiti baada ya polisi kuharibu bidhaa zake kutokana na kutokuwa na kibali maalum.
Zaidi ya watu 5000 walihudhuria Mazishi yake huku waombolezaji wakisema "KWAHERI MOHAMMED sisi tutalipiza kisasi kwa ajili yako. Sisi leo tunalia kwa ajili yako, tutawafanya wale ambao wamesababisha kifo CHAKO WALIE"
Polisi walilazimika kuzuia umati mubwa uliofika nje ya ofisi ya gavana ambako bw. Bouazizi alijilipua. “Muhammad alitoa maisha yake kwa kuonesha uchungu na hali yake na kwa ndugu zake”

Ghasia hizo zimesababisha mwandamanaji mmoja kuuawa baada ya polisi kufyatua risasi

Wednesday, January 5, 2011

TULIZANI NI UNIQUE MODEL PEKEE NDIYO INALALMIKIWA KUMBE HATA NDONDI HAWAKUBALI MATOKEO


MADA MAUGO ASEMA HAKUPIGWA NA CHEKA BALI MAJAJI WAMETOA USHINDI WA BURE KWA CHEKA

 Baada ya kupokea kichapo kutoka kwa CHEKA ,MADA MAUGO asema hajapigwa kwani yeye alionyesha mchezo nzuri na haelewi kwanini majaji wamempa ushindi CHEKA wakati hakumpiga.
Amesema yeye yupo tayari hata sasa kurudiana na CHEKA kwani bado hajapigwa na hamuogopi CHEKA.
jAMANI MASHINDANO YA KITANZANIA HAYAISHI MALALAMIKO YAMKINI HII NI DESTURI YETU WATANZANIA JE UNAKUMBUKA HATA MASHINDANO YA BAISKELI WATU WALILAUMU KUCHAKACHULIWA ITAKUWA MITINDO MASHINDANO YANAYOHUSU WASICHANA PEKEE AMBAPO MTU ANAWEZA KUTUNGA CHOCHOTE NA DHANA POTOFU ZA WATANZANIA WALIO WENGI WANADHANI KILA ANACHOLALAMIKA MWANAMKE NI KWELI  NA SAHIHI HATA KAMA HAWANA USHAIDI..HATA KAMA WANATUNGA UWONGO....WADAU MPOOO.....!!!                                 

Monday, January 3, 2011


MAJINA MATATU YAINGIA FAINALI “TUZO YA SHUJAA WA SAFARI LAGER”.



MAJINA MATATU YAINGIA FAINALI
TUZO YA SHUJAA WA SAFARI LAGER”.
Dar es Salaam, Jumatatu 03, 2011: Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager na ushirikiano wa kituo cha ITV na Radio One, leo wameweka hadharani majina matatu yaliyofanikiwa kuingia fainali za tuzo ya “Shujaa wa Safari Lager”. Majina ya mashujaa hao ambao wanawania tuzo ya hiyo maalum ni:-
A. MERCY SHAYO – BOMANG’OMBE, KILIMANJARO
B. PAUL LUVINGA – SINZA E, DAR ES SALAAM
C. LEONARD MTEPA – MWANANYAMALA A, DAR ES SALAAM
Akitangaza majina hayo, Meneja wa Bia ya Safari Lager Fimbo Butallah alisema; “Tulipokea mapendekezo mengi toka kwa wananchi wakipendekeza mashujaa wao na mambo waliyofanya kwa jamii, kazi iliyofuata ilikuwa ni kupitia na kuchambua mapendekezo hayo kwa kuangalia vigezo muhimu, ili kuweza kupata majina matatu yatakayoingia fainali. Hatua inayofuata ni kuchapisha mambo waliyofanya mashujaa hawa watatu katika magazeti na kutangaza katika Televisheni na Redio ili wananchi wote waelewe na kisha waweze kupiga kura ili kuchagua shujaa wanaetaka atwae tuzo hii ya “Shujaa wa Safari Lager 2010”.
Tunapenda kuwakumbusha wananchi wote kuwa mshindi wa tuzo hii ya Shujaa wa Safari atajinyakulia kitita cha shilingi milioni 7, pia kutakuwa na shilingi milioni 3 ambazo zitasaidia shughuli yoyote ya kijamii atakayopendekeza shujaa huyo mahali anakotoka. Mashujaa wawili waliobaki wao watapata kifuta jasho cha shilingi milioni 1 kila mmoja.





 GIRAFfE UNIQUE MODEL 2010

                                                     Katikati ni mshindi wa (asia dachi)UNIQUE MODELOF YEAR 2010,WPILI ALIKUWA DIANA HAMSON KULIA NA MARIAM RABII WATATU
                                       

                                       Tano bora ya GIRRAF UNIQUE MODEL.diana hamsin,caroline mwakasaka,mariam rabii,asia dachi na bilkis suleiman

CHINA YAAHIDI KUSAIDIA SEKTA YA SANAA NCHINI

 Balozi muambata wa utamaduni wa China, Liu Dong akifafanua jambo wakati alipomtembelea Katibu Mtendaji wa BASATA,Ghonche Materego (Kulia) ofisini kwake Ilala,Sharif Shamba wiki hii.Katikati ni wakurugenzi idara mbalimbali za BASATA              
Katibu Mtendaji wa BASATA,Bw.Materego akisisitiza juu ya uimarishaji wa uhusiano wa kitamaduni kati ya China na Tanzania wakati alipopokea ugeni wa maafisa watatu kutoka Ubalozi wa China ukiongozwa Balozi muambata wa utamaduni Bw.Liu.
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeingia kweye makubaliano na ubalozi wa China nchini ya kubadilishana kazi za sanaa na wasanii mbalimbali kwa ajili ya kuimarisha mashirikiano ya kiutamaduni na kukuza sekta hiyo nchini.

Akiwa katika ziara yake BASATA ambayo aliambatana na maofisa wawili wa ubalozi wake Huang Wei na Wang Hong,Balozi muambata wa utamaduni kutoka China,Liu Dong amesema kwamba nchi yake imejipanga kusaidia sekta ya utamaduni nchini kwa kuwashirikisha watanzania kwenye matamasha mbalimbali ya kitaifa na kimataifa ikiwa ni pamoja na kujenga miundombinu ya sekta hiyo.

Bw.Liu alikubaliana kimsingi na BASATA katika kuimarisha mahusiano ya kiutamaduni ikiwa ni pamoja na kuweka mikakati ya kuwezesha ubadilishanaji wa kazi za sanaa na wasanii ili wapate fursa za kuuza kazi zao, kujitangaza na kushiriki katika matamasha mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.

“China kwa sasa inaweka nguvu kwenye suala la kubadilishana utamaduni baina ya mataifa haya mawili.Tunategemea kuwashirikisha wasanii wa Tanzania katika matamasha mbalimbali tutakayoyaandaa pamoja na kuwapeleka nchini China kwa ajili ya kuongeza na kubadilishana ujuzi” alisisitiza Liu huku akitaja sanaa za uchongaji, filamu, uchoraji, ngoma za asili, sarakasi na nyinginezo kuwa watazipa msisitizo.

Kwa kuanzia Balozi huyo wa China alisema kwamba,wasanii wa Tanzania watapata nafasi ya kushiriki matamasha na maonesho ya kuazimisha mwaka wa China ambayo yanatazamiwa kuanza mwishoni mwa Februari mwaka 2011 ambapo pamoja na wasanii kutoka Tanzania watakuwepo pia magwiji wa tasnia hiyo kutoka China pamoja na waandishi wa habari maarufu.

Kwa upande wake,Katibu Mtendaji wa BASATA,Ghonche Materego alisema kwamba, ziara hiyo ya maofisa wa ubalozi wa China ambayo imekuja baada ya ile ya awali ya maofisa wa Baraza ubalozini kwao ni yenye manufaa makubwa na italeta tija kubwa katika tasnia ya sanaa na utamaduni kwa ujumla hasa ukizingatia wasanii wamekuwa na uhitaji mkubwa wa maonyesho na masoko ya kazi zao.

Alingeza kwamba,BASATA iko tayari kusaidiana na China katika masuala mbalimbali ya ukuzaji wa sekta ya sanaa huku akiweka wazi kwamba,uhusiano wa China na Tanzania ni wa muda mrefu sana hivyo kuna kila sababu ya kuuendeleza na kuuimarisha zaidi.

“Kama kuna suala lolote mtakalohitaji tuwasaidie katika kukuza ushirikiano wa kiutamaduni sisi tuko tayari na milango iko wazi.Bila shaka eneo hili la mashirikiano ya kiutamaduni ni nyeti sana na hatuna budi kulipa msukumo wa kipekee” alisisitiza Materego