MAZITO KUHUSU SALAMA JABIR NA KUPIGWA LITA HAYA HAPA
Katika pitapita zangu nimefanikiwa kumnasa live Salama Jabir akinyonyana ndimi bila chenga na mwenzake...!! Nashindwa
kuthibitisha huyo wa pili ni nani na ni jinsia
gani....nikimwangalia haraka haraka naona kama ni mwanaume na
namfananisha na mdogo wake Wema Sepetu aitwaye Bill
Sepetu.....
Nikijaribu
kukaza macho kwa kwa makini, huyo wa pili namuona kama ni
mwanamke kutokana na vazi lake.Hicho cha mabegani nakifananisha
na sidiria za akina dada....!! Yaani nimeumiza macho mpaka yanauma...Nashindwa kuyaamini macho yangu kuhusu Salama Jabir. Sikutegemea..!!
No comments:
Post a Comment