Mke
wa Waziri Mkuu Msaafu (Mh. Edward Lowassa),Mama Regina Lowassa
(kushoto) akimsikiliza kwa makini Dada yake mkubwa wakati akizungumza
machache kwenye hafla fupi ya kusherehekea kuadhimisha miaka 60 ya
kuzaliwa kwake iliyofanyika leo nyumbani kwake,Masaki jijini Dar es
salaam.
Mama Regina Lowassa akiwa na Marafiki zake wakati hafla hiyo ikiendelea.
Mama Regina Lowassa akipokea zawadi ya Kitabu kutoka kwa mmoja wa Marafiki zake waliohudhulia hafla hiyo.
Wajukuu wakimpongeza Bibi yao.
Mmoja wa wajukuu akitoa burudani.
Watoto
wa Mh. Edward na Mama Regina Lowassa,Adda (kushoto) na Pamela Lowassa
wakiimba wimbo maalum wa kumpongeza Mama yao kwa kutimiza miaka 60 ya
kuzaliwa kwake.
Mama Regina Lowassa akikata keki.
Mama Regina Lowassa akimlisha Keki Mumewe,Mh. Edward Lowassa
Mh. Lowassa nae akalisha keki Mkewe.
Muda wa kufungua Shampein ukawadia.
No comments:
Post a Comment