
Mdau
Bryan Becon akiwa na mdogo wake Rodney Becon na mama yake Mrs Becon
mara baada ya kuhitimu degree ya Business Management katika chuo cha Aston
University kilichopo Birmingham Uingereza.
Uongozi wa Giraffe Ocean View Hotel
na Tanga Beach Resort unamtakia kila la kheri.
Unique entertainment blog na wadau wote wa habari tunampa pongezi za dhati kwa hatua aliyoifikia.
Baba mzazi wa Bryan Dr.Charles Bekon ambae ni mkurugenzi wa Giraffe Ocean View Hotel pia ametuma salamu za upendo kwa mwanae bryan mapema hii leo.
No comments:
Post a Comment