Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Tuesday, January 3, 2012

MDAU STAN AKIKARIBISHA MWAKA NA NDUGUZE

 Ilikuwa ni usiku wa kukaribisha mwaka mpya Mdau Stan na nduguze pamoja na rafiki zao walijumuika pamoja.
 Mapozi ya picha hapoooo...
 
Kila mtu na hakunaga wake hapo brother and sister...
Misosi mitungi na kujiachia all da night
Mambo ya mduara kudadadekiii...

50 CENT AJITABIRIA KUFA MAPEMA

Another celebrity meltdown?
It’s not uncommon nowadays for a celebrity to take to twitter and tweet their thoughts and use twitter as a therapy session. Last night, 50 Cent logged on to the social network and revealed to his followers that he not only has lost faith in his team (we can assume his team includes Interscope execs as he has been bitching about his label for weeks), but that he also feels as though he won’t live much longer.

MTOTO WA MANDELA ATOZWA FAINI $7.5 ML MAHAKAMANI

Zindziswa Mandela
Nelson Mandela
's daughter just lost a $7.5 million battle in court -- because that's how much a judge ordered her to pay an L.A. boxing promoter ... after she allegedly flaked on a deal to organize a Pacquiao/Mayweather fight.

TMZ broke the story ... a guy named Duane Moody sued Nelson's daughter Zindziswa Mandela for $7.5 million earlier this year -- claiming she hired him to organize a Pacquiao/Mayweather bout for her father's birthday ... but ultimately flaked on the deal ... and the fight never materialized.

The fight was expected to rake in $100 million -- and Duane claims Zindziswa promised to pay him a 15% commission on all proceeds ... but fell off the radar as he was trying to organize the match.

According to the legal docs, obtained, Zindziswa never responded to Duane's complaint -- so an L.A. judge entered a default judgment, awarding the promoter $7.5 million in damages ... plus costs.

Duane's lawyer tells us, “We haven’t heard anything from any representative for Ms. Mandela. It appears she feels hiding in South Africa means she can avoid her obligations in the U.S.”

A rep for Zindziswa tells us her lawyers plan to challenge the judgment.

BREAKING NEWS AJALI YAUWA WAWILI MOROGORO

 Baadhi ya abiria wakitokwa na machozi baada ya kusalimika na ajali hiyo iliotokea leo eneo la doma barabara ya kuelekea Iringa kutoka Morogoro wilayani Mvomero.
Askari usalama wakichukua maelezo toka kwa abiria waliosalimika katika katika ajali hiyo iliotokea mida ya saa kumi jioni na kusababisha vifo vya watu wawili na watu 29 kujeruhiwa,majeruhi wote wamefikishwa katika hospitali ya rufaa ya Morogoro leo.

AKAMU WA RAIS DKT BILAL AHUDHURIA SHUGHULI ZA MAZIKO 'DUA' YA MAREHEMU BALOZI ATHUMAN MHINA

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Wazazi wa CCM Zanzibar, Bi. Dogo Mabruk, wakati alipokuwa akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, marehemu Balozi Athuman Mhina, kwa ajili ya kuhudhuria shughuli za maziko, Madale jijini Dar es Salaam, leo Januari 3, 2012. Kulia ni Sophia Simba. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipofika nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, marehemu Balozi Athuman Mhina, kwa ajili ya kuhudhuria shughuli za maziko, Madale jijini Dar es Salaam, leo Januari 3, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

STAR MEDIA WAUAGA MWAKA 2011 NA KUUKARIBISHA 2012 KWA SHEREHE.

Burudani ndo usiseme ilikuwa mwanzo mwisho na kwaito ilichezwa vilivyo.
wafanyakazi waliofanya vyema katika kipindi cha mwaka 2011 walitunukiwa vyeti vya pongezi
mambo ya misosi yalikuwa kamili na watu walikula na kusaza.
Meneja Mkuu wa Biashara wa TBC, Joe Rugalabamu akitoa neon la shukrani kwa niaba ya mwenyekiti wa bodi ya Sart Media Clement Mshana.
Naibu Mkurugenzi wa Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCR), Fredrick Ntobi, akitoa neon la shukrani kutoka TCRA.
Ofisa Mtemndaji Mkuu wa Star Media (T)Ltd…..akifungua shampein kwaajili ya kupongezana na wafanyakazi wa kampuni hiyo jijini Dar es salaam hivi karibu. Tafrioja hiyo ilifanyika katika ukumbi wa New Msasani Beach Club Dar es Salaam na kuwahusisha wafanyakazi na familia zao

BREAKING NEWS: MADAKTARI WA HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI WAANZA MGOMO LEO

Dr. Masele Lucas akizungumza leo
Baadhi ya Madaktari na Wafamasia wanaofanya Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa mwaka mmoja hospitari ya Taifa Muhhimbili wakiwa katika mkutano na viongozi wa Wizara ya Afya na hospitali hiyo Dar es salaam leo baada ya kugoma kwa kutolipwa posho zao kwa mda wa mwezi mmoja
Dr. Flank Kagolo akimwaga cheche zake
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospital ya Taifa Muhimbili Dkt. Mariana Njelekelo (kulia) akizungumza na baadhi ya viongozi wa Madaktari na Wafamasia wanaofanya Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa mwaka mmoja katika hospitari hiyo ambao waligoma baada ya kukosa mshahara wa mwenzi mmoja Dar es salaam leo
Baadhi ya Madaktari na Wafamasia wanaofanya Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa mwaka mmoja hospitari ya Taifa Muhhimbili wakiwa katika mkutano na viongozi wa Wizara ya Afya na hospitali hiyo Dar es salaam jana baada ya kugoma kwa kutolipwa posho zao kwa mda wa mwezi mmoja

Monday, January 2, 2012

EXCLUSIVE:JACKY PENTEZEL APIGWA KIBUTI NA TIMBULO...PENZI LAO VIPANDEVIPANDE!!

 EXCLUSIVE DETAIL: Habari za uhakika zilizotufika hivi punde ni kwamba Jacky Pentezel amemwagwa kimapenzi na msanii wa bongo flava Timbulo,penzi lao lililoonyesha wivu na huba UNIQUEENTERTZ imebaini.
  Mnyetishaji wa habari hizi amesema kuwa Timbulo kampa kibuti Jacque kutokana kumchoka kimapenzi muigizaji huyo na radha ya mapenzi haipo tena kati ya wawili hao.
    Awali Jacque alionekana kulewa zaidi na penzi la kijana huyo mbana pua ambae anatamba na vibao viwili vinavyosumbua katika vituo mbalimbali vya habari.
  Kubwa zaidi ni kwamba inasemekana Timbulo amepata demu mwingine wa kishua zaidi ambae anamaliza shida ndogondogo za kijana huyo hivyo kumpelekea kumpa kisogo Jacque,stay tuned dont touch your keyboard ntaongea na jacque then ntakujuza binti huyo anajisikiaje kumwagwa na chekibob huyo.

HARUSI YA MKWERE VITUKO TUPU..!!


Chereko, vifijo, shangwe, nderemo na vigelegele vilitawala kila kona ya ukumbi huku watu wakivunjika mbavu kwa vituko kwenye harusi ya komediani matata Bongo, Hemed Maliyaga ‘Mkwere’.jasiri haachi asili...!!
Tukio hilo lilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Delux Hotel Sinza, Dar es Salaam, usiku wa Ijumaa baada ya Mkwere wa Kundi la Mizengwe, kufunga ndoa na Fatma Abdallah Massawa siku hiyo mchana Mabibo, Dar.

CHIDI BENZ APIGWA STOP CLUB ZA MBOWE


 Msanii wa kufokafoka Chid bBenz amepigwa stop kutimba club za Bills na Much more kutokana na kile kinachodaiwa kuleta vurugu ukumbini humo siku kadhaa zilizopita.
 Mwishoni mwa wiki hii Chid Benz alifika club Much more lakini alitolewa nduki na mabaunsa atoke na asionekane tena billz ama Much more kwani hawataki kumuona kutokana na ukorofi wa msanii huyo,chanzo cha habari kiliitonya  UNIQUEENTERTZ leo jijini Dar.

PROF J APAWISHWA NA JIDADA JUKWAANI

Prof.J akicheza na shabiki wake jukwaani ikiwa ni moja ya njia ya kuwapagawisha mashabiki walifulka siku hiyo.
Walimbwende wakifanya vitu vyao kwa kuzirudi ngoma za Prof J wakati wa uzinduzi wa kiota kipya cha mapumziko na burudani jijini Dar es Salaam cha DAR LIVE kilichopo huko Mbagala.

SIMU YA MCHINA YAMLIPUKIA NA KUMUUNGUZA MWILI

Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe (kulia) akimjulia hali mfanyabiashara wa mafuta katika Kijiji cha Luilo Ludewa, Joseph Haule ambaye amelipuliwa na mafuta baada ya simu yake ya kichina kulipuka,majeruhi huyo anatibiwa katika Hospital ya Wilaya ya Ludewa, mkoani Iringa.
Filikunjombe na baadhi ya wananchi wakimjulia hali Joseph Haule
Joseph Haule akiwa amelazwa Hospitali baada ya kujeruhiwa vibaya.

SHEREHE ZA MWAKA MPYA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE

Usiku wa kuamkia tarehe 1 Januari 2012, Jumuiya ya Watanzania, maafisa wa Ubalozi pamoja na waalikwa kutoka Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na Balozi wa Malawi na Balozi wa Ethiopia nchini Zimbabwe walihudhuria hafla ya kukaribisha mwaka mpya.
katika picha ya juu Mhe. Balozi Adadi akishereheka na watanzania.Mhe. Balozi Adadi akiteta jambo na wageni wake ambao ni Balozi wa Malawi na Balozi wa Ethiopia.
Watanzania na waalikwa wengine wakipata chakula sambamba na kuukaribisha mwaka mpya. katika Ubalozi wa Tanzania Harare

LEBRON JAMES AMVISHA PETE YA UCHUMBA SAVANNA BRINSON

0101_lebron_Savannah-Brinson_getty_bn
LeBron James didn't just ring in the New Year last night ... he put a ring on it, as in he got engaged!
King James proposed to his longtime girlfriend, Savannah Brinson, who is also the mother of his two children. The two have been together since high school.
LeBron popped the question during a NYE party at the SL Nightclub in Miami.
Miami Heat owner Micky Arison tweeted the couple well wishes, writing, "Congrats to Lebron. @KingJames and Savannah so happy 4 u guys."
LeBron isn't the only baller to get engaged recently -- Michael Jordan proposed to his girlfriend, who is 16 years younger than him, over Christmas weekend.

Sunday, January 1, 2012

EXCLUSIVE: SHAQUILLE O'NEAL AANZA USHOGA

Shaquille O'Neal, alilifanya tukio hili usiku wa Alhamisi, 'Ndani ya ligi ya kikapu nchini Marekani NBA, na kisha baadaye katika mtandao aliandika... '"Mimi nitamlipa dola elfu moja kwa yeyote ambaye atajichora tatoo ya picha hii, nitumieni picha zenu kupitia akaunti yangu ya Twitter"

Shaq, in my eyes, has turned into quite the mensch after joining the fight for LGBT rights earlier this year. And perhaps it was the late night setting, or the chance to rip on Charles Barkley in his typical, jocular fashion, but it did appear as if Shaquille was a little too excitable on TNT's 'Inside the NBA' when it came time to rip on Barkley's awesome lip-lock with NBA referee Dick Bavetta from nearly five years ago.
Moja kati ya tatoo zilizochorwa na watu kula dola elfu moja taslimu.

TAMASHA LA FUNGA MWAKA LA AIRTEL BONGO 50 LABAMBA

 Na ilipofika saa sita kamili kuingia mwaka 2012 shangwe zilikuwa za hatari zikiambatana na fataki za kutosha
Mkali Fid q alipata shangwe za hatarii
Abiria wa jiji la DAR WAKISHANGILIA KUINGIA 2012
Mr famous himself Jay more.
Afande sele
yalaitiiiiii, napenda pasikifaniiiii, tofauti, sikutiliii moyoni, sikuachii leo na kesho pepono aaaahh aaaaaah  aaaaaahh I LOVE UUUUUUUUU....
Aaaaaaga, wali naaaaaazi. hahhahahaaaaaaaaa Juma kassim  Nature
kwenye moja na mbili, hakukosewa , alikuwa ni mtu mzima Dj zero

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA ALIPOANDAA SHEREHE ZA KUKARIBISHA MWAKA MPYA

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu akitambulisha baadhi ya waaalikwa waliosaidia kuchangia katika mfukio wa elimu wa kusomesha vijana mbalimbali nchini elimu ya sekondari hadi chuo kikuu wakati wa hafla ya mwaka mpya aliyoiandaa nyumbani kwake kijiji cha Ilikrevu  mkoani Arusha wakati wa mwaka mpya.
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu na Mkewe Faraja wakikata keki  katika sherehe ya mwaka mpya waliyoiandaa nyumbani kwao Arumeru Mkoani Arusha wakati wa Mwaka mpya,
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu akicheza na watoto katika sherehe ya mwaka mpya aliyoiandaa nyuimbani kwake Arumeru mkoani arusha.
Mke wa Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu na Faraja(wa pili kushoto)akiongoza Wageni Mbalimbali kucheza mziki

J-LO NA KIBWANA CHAKE WAJITUPA MIAMI FOR NEW YEAR

 As his name suggests, J.Lo's boo Casper Smart is definitely just that, Smart.

The back-up dancer went from busting moves for 
Jennifer Lopez to sailing in to the New Year on Jenny's yacht. The 24-year-old Casper joined Jennifer and family, which included Jenny's twins Max and Emme, for the New Year festivities aboard a yacht in Miami.