Baadhi
ya Madaktari na Wafamasia wanaofanya Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa
mwaka mmoja hospitari ya Taifa Muhhimbili wakiwa katika mkutano na
viongozi wa Wizara ya Afya na hospitali hiyo Dar es salaam leo baada ya
kugoma kwa kutolipwa posho zao kwa mda wa mwezi mmoja
Mkurugenzi
Mtendaji wa Hospital ya Taifa Muhimbili Dkt. Mariana Njelekelo (kulia)
akizungumza na baadhi ya viongozi wa Madaktari na Wafamasia wanaofanya
Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa mwaka mmoja katika hospitari hiyo ambao
waligoma baada ya kukosa mshahara wa mwenzi mmoja Dar es salaam leo
Baadhi
ya Madaktari na Wafamasia wanaofanya Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa
mwaka mmoja hospitari ya Taifa Muhhimbili wakiwa katika mkutano na
viongozi wa Wizara ya Afya na hospitali hiyo Dar es salaam jana baada ya
kugoma kwa kutolipwa posho zao kwa mda wa mwezi mmoja
No comments:
Post a Comment