Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Kaimu Mwakilishi
wa Dunia kwa Tanzania, Uganda na Burundi Mercy Miyang Tembon(kulia)
wakisaini hati ya msaada makubaliano ya
msaada wa Shilingi bilioni 22.8 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za
Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP) uliotolewa na Japan na
utasimamiwa na Benki ya Dunia(WB) .
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akiongea na
waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mara baada ya kusaini makubaliano
ya msaada wa kusaidia sekta ya kilimo na Kaimu Mwakilishi wa Dunia kwa
Tanzania, Uganda na Burundi Mercy Miyang Tembon mara baada ya kusaini
makubaliano ya msaada wa Shilingi bilioni 22.8 kwa ajili ya kuunga
mkono juhudi za Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP) Japan na
utasimamiwa na Benki ya Dunia(WB).
No comments:
Post a Comment