Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, January 18, 2012

JK AZINDUA MADARAJA MAKUBWA MAWILI MOROGORO VIJIJINI, AWEKA JIWE LA MSINGI LA SOKO, AHUTUBIA KATIKA MVUA KUBWA

JK akielekea jukwaani kuhutubia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa soko la kijiji cha Mtamba, Morogoro vijij.
JK akiongea baada ya kuzindua daraja la mto Mtombozi tarafa ya Matombo wilaya ya Morogoro mjini leo January 17, 2012.
JK na RC akivuka daraja jipya la Magogoni katika barabara ya Kiganila-Mvuha, Morogoro Vijijini baada ya kulizindua.
JK na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua.
JK na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua.
Rais Jakaya Kikwete leo ametembelea Morogoro vijijini na kuzindua madaraja mawili makubwa katika mto Mtombozi, Matombo, na mto Magogoni katika barabara ya Kiganila-Mvuha, pia ameweka jiwe la msingi la soko la kijiji cha Mtamba na kukagua ujenzi wa barabara sehemu ya Kisaki, Msalabani.

No comments: