MKAZI wa Igunga, Kada wa CCM, Mussa Tesha aliyekuwa nchini India kwa matibabu baada ya kumwagiwa
tindikali usoni na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADAEMA), wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo
jimboni humo (Igunga) mwaka jana, akizungumza na waandishi wa habari,
jijini Dar es Salaam, baada ya kurejea nchini. Kulia ni Katibu wa NEC,
Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba ambaye alikuwa Meneja wa Kampeni za CCM
jimboni humo.
No comments:
Post a Comment