SERENGETI LAGER YAZINDUA NEMBO YENYE MUONEKANO MPYA WA DHAHABU, LAKINI BURUDANI ILEILE.
Katibu
Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Masoko B. Joyce Mapunjo katikati
akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Kampuni ya bia ya Serengeti
mara baada ya kuzindua rasmi bia ya Serengeti katika muonekano wa
Dhahabu, uzinduzi uliofanyika jana jioni kwenye hoteli ya Golden Tulip
jijini Dar es salaam na kuhudguriwa na wadau mbalimbali na wageni
waalikwa.
Kutoka
kulia ni Emilian Rwejuna meneja masoko (SBL) Mark Tyro Mkurugenzi wa
Usambazaji, Ephraima Mafuru Mkurugenzi wa Masoko, Mgeni rasmi Katibu
Mkuu Viwanda, Biashara na Masoko Joyce Mapunjo, Mkurugenzi mtendaji wa
(SBL) Richard Wells na kushoto ni Zohra Moore Meneja wa Huduma IPP
wakipozi kwa picha huku wakiwa wameshikilia chupa mpya ya Serengeti
Lager iliyo katika muonekano wa Dhahabu
Chupa
mpya ya Serengeti Lager yenye muonekano wa wa Dhahabu ikiibuka kutoka
katika maji mara baada ya kuzinduliwa rasmi jana usiku.
Shamrashamra zikiendelea wakati nembo mpya ya bia ya Serengeti Lager ikizinduliwa jana.
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Masoko B. Joyce Mapunjo akizungumza katika uzinduzi huo
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Richard Wells
akizungumza katika uzinduzi huo wakati alipomkaribisha mgeni rasmi.
Ephraima
Mafuru Mkurugenzi wa Masoko kampuni ya bia ya Serengeti akizungumzia
mafanikio mbalimbali yaliyopatikana katika taifa kupitia bia ya
Serengeti Lager.
Mark
Tyror Mkurugenzi wa Usambazaji kulia na Ephraima Mafuru Mkurugenzi wa
Masoko kampuni ya bia ya Serengeti wakionyesha nembo mpya ya bia ya
Serengeti Lager. Mrembo wa Serengeti Lager akipozi kwa picha na huku akionyesha Nembo mpya ya bia ya Serengeti Lager
Mkurugenzi wa Usambazaji Mark Tyro kushoto akipozi kwa picha na marafiki zake Kutoka
kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL)
Richard Wells, Ephraima Mafuru Mkurugenzi wa Masoko kampuni ya bia ya
Serengeti na Mwisho ni Meneja wa Mahusiano kampuni ya bia ya Serengeti
Nandi Mwiyombela
Hapa ilibaki burudani tu.
Ephraima
Mafuru Mkurugenzi wa Masoko kampuni ya bia ya Serengeti akiongea na
mkurugenzi wa Extra Bongo Kamalade Ali Choki , kulia ni Meneja Masoko
wa (SBL) Emilian Rwejuna.
Hapa
mzuka ukapanda kidogo lakini yote ilikuwa burudani na uzinduzi wa
muonekano wa Dhahabu katika burudani ileile ya Serengeti Lager.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.
Kikundi cha ngoma za asili kikitoa burudani katika uzinduzi huo.
Dada Ritah Mchaki meneja wa bia ya Tusker katikati akipozi na wadau kutoka kampuni ya bia ya Serengeti hebu wacheki pozi lao.
Mdau
Bahati Singh kutoka kampuni ya bia ya Serengeti yeye ilikuwa
mishemishe tu ili kuhakikisha mambo ya uzinduzi yanakwenda sawa.
Mikakati
ikipangwa hapa Meneja wa kiinywaji cha Serengeti Lager Allan Chonjo
katikati anaonekana akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya bia ya
Serengeti Richard Wells kushoto, huku akimsikiliza pamoja na Meneja
Masoko wa kampuni hiyo Emilian Rwejuna kulia.
Rapa
mahili wa Extra Bongo Maarufu kama Furgason akighani huku akmsikilizia
mnenguaji mahiri wa bendi hiyo Aisha Madinda wakati alipokuwa
akicheza.
Huo ndiyo muonekano wa dhahabu wenyewe kama unavyoonekana.
Wanenguaji wa bendi ya Extra Bongo wakifanya vitu vyao jukwaani.
Wadau kutoka R$R wakiwajibika kazini.
Wadau mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi huo
No comments:
Post a Comment