,
Wema na Uwoya hapatoshi.......Wasanii hawa pichani juu, ambao siku za
hivi karibuni walimaliza BIFU lao kwenye sherehe ya kuzaliwa IRENE
UWOYA, leo tena wako kwenye BIFU baya zaidi. BIFU la wasanii hawa
limekuja baada ya WEMA kutoa ushauri kwa UWOYA kuwa anatakiwa kumaliza
bifu na kumsheshimu mume wake ili warudiane. Ushauri huu ulioneka na ni
kichefuchefu kwa UWOYA, Habari zinasema kuwa UWOYA liweka wazi kuwa
hawezi kushauriwa na mtu aliyeachika kwenye uchumba kwani hajui chochote
kuhusu mambo ya ndoa. Aliongeza kwa kusema kuwa labda WEMA siku hizi
amechanganyikiwa..... Naomba anikome kabisa......alisema wema....
No comments:
Post a Comment