Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, January 2, 2012

CHIDI BENZ APIGWA STOP CLUB ZA MBOWE


 Msanii wa kufokafoka Chid bBenz amepigwa stop kutimba club za Bills na Much more kutokana na kile kinachodaiwa kuleta vurugu ukumbini humo siku kadhaa zilizopita.
 Mwishoni mwa wiki hii Chid Benz alifika club Much more lakini alitolewa nduki na mabaunsa atoke na asionekane tena billz ama Much more kwani hawataki kumuona kutokana na ukorofi wa msanii huyo,chanzo cha habari kiliitonya  UNIQUEENTERTZ leo jijini Dar.

No comments: