Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Tuesday, May 8, 2012

BOW WOW ASHEREKEA BIRTHDAY YA BINTI YAKE


My, how time flies.   It seemed like just yesterday, Bow Wow was a teenage little boy holding down the #1 Spot on 106 and Park each and every week and now he’s a father to a 1 year old.
You may remember, just last year, Bow Wow wrote an open letter to his fans, revealing that he was a father to a beautiful baby girl named Shai. Soon after, the internet was buzzing with gossip about Bow Wow’s child’s mother Joie Chavis and her refusal to put his name on the birth certificate because he skipped out on the baby’s birth. It looks as though they’ve finally let bygones be bygones and have begun a cordial relationship for the sake of their child.
Last week, Bow Wow and Joie celebrated their daughter’s first birthday with a super bitchie birthday party. It had a Minnie Mouse theme and Shai was surrounded by family and friends during the festivities.

PENZI LA KANYE WEST NA KIM K LAPAMBA MOTO

Kim Kardashian in a car belonging to Kanye WestKanye West MUST be getting serious with Kim Kardashian -- he's letting her drive his $500,000 whip in L.A. while he's in NYC.

We got this pic of Kim driving Kanye's Mercedes SLR McLaren this AM to Barry's Boot Camp in Sherman Oaks.

Kim's family just signed a $40-plus million deal with E! for their reality shows, so she could probably afford to buy her own.

BTW, Kim owns a Range Rover, a Ferrari, a Bentley ... oh, and a Rolls Royce Ghost ... but it's way more fun to drive your boyfriend's car.

NDOA YA BOBI BROWN YAIVA

0507_bobbie_brown_alicia-etheridge_getty_v3
Bobby Brown is managing to kill two giant birds with one stone ... a concert with his band and his long-awaited wedding -- all in one weekend trip to Hawaii.

Sources tell US... Brown and his fiancĂ©e -- Alicia Etheridge -- have finally set a wedding date after 2 years of engagement bliss ... and it's the same weekend Brown's band New Edition will be performing in Honolulu. 

We're told the nuptials will take place on the weekend of June 15th ... Brown will be flying out some of his family and friends to the island, to witness the ceremony he has dubbed his "big day."

The duo has been engaged since May 2010 and have one child together.

Bobby was previously married to Whitney Houston who passed away in February.

RIHANNA AFANYA KUFURU NIGHT STRI CLUB


Smoking weed and cussing isn’t the only thing Rihanna likes to do in her free time, or when she’s stressed.
According to Rihanna … the best way to relieve stress is to hit up the strip club! And the Pop singer did just that last night/this morning in New York.

“Best stress reliever = $tripper$,” the 24-year-old singer tweeted in the wee hours of the morning as she posted some photos to Twitter.
The liquor must have been flowing too, because she also tweeted, “My n***a I’m faded…And I don’t give a ph**k!”

In one of the photos, Rihanna can be seen making it rain on two strippers, and in another, she can be seen grinding on a stripper from behind, while jugging a drink (in her mouth) and holding a wad of cash.
In another tweet, the singer wrote, “#ROCstarshit my daddy would be proud … #RoleModelShit.”

MISS INTERCOLLEGE SOUTHERN HIGHLAND ZONE 2012

Mshindi namba moja aliyekaa kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa, Kushoto kwake ni Mshindi wa Pili kutocha Chuo cha TIA na kulia ni Mshindi wa Tatu kutoka Chuo Kikuu cha TEKU
Warembo 12 kutoka Vyuo vikuu kutoka Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakiwa jukwaani katika Shindano la kumsaka  Miss Intercollege Southern Highland zone.

BEBE COOL AMFUNIKA BOBI WINE KINYUME NYUME

Majority of music fans believe that Big Size Bebe Cool was the overall winner of the Battle of the Champion at Kyadondo grounds as he sang more songs, was better dressed, more swaggerific, entertaining and put up a more energetic performance from the start to the end compared to Ghetto Gladiator Bobi Wine
On the other hand, a greater part of the same fans also concluded that while Bebe performed well in the above areas, Bobi Wine was more interactive, involving and talkative throughout the night.
According to a latest post-Battle of the Champion public poll/survey conducted online via this platform from Saturday 9:00am to Sunday 12:00 pm, music fans acknowledged that the Battle of the Champion went on smoothly with both musicians giving their best to a passionate audience that filled Kyadondo to capacity.  Basing on what transpired at Kyadondo, they gave their final verdict. This online public survey had 2868 participants. 
In the category of who sang more songs, Bebe Cool bagged 2466 votes compared to Bobi Wine’s 402 votes while under the category of best dressed; Bebe had 1979 votes compared to Bobi’s 889. 
When fans were asked for who was most swaggerific for the battle, Bebe Cool received 1893 votes and Bobi Wine took 975 votes. 
In the category of most interactive musician, Bobi Wine won taking 2036 votes compared to Bebe Cool’s 832 votes. Check graph below for how each musician rated in the entire poll.

Monday, May 7, 2012

OMBI LA LULU LILIPOTUPILIWA MBALI NA MAHAKAMA

Lulu (katikati) akiingia mahakamani na askari magereza wa kike.  
Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, leo amepandishwa tena kizimbani mara ya tatu katika kesi ya mauaji ya Kanumba inayomkabili ambapo mawakili wanaomtetea wakiongozwa na Kennedy Fungamtama waliwasilisha ombi la kurekebisha umri wa mshitakiwa huyo kuwa miaka 17 na si 18 kama ilivyowasilishwa mahakamani hapo.


Fungamtama na jopo lake walisema mteja wao ni mtoto mdogo hivyo kesi hiyo ipelekwe mahakama ya watoto na kuwasilisha cheti kinachoonesha ana umri wa miaka 17. Upande wa mashitaka umetupilia mbali ombi hilo na kudai cheti kilichowasilishwa kina mapungufu kadhaa likiwemo jina la Dyana ambalo halijawahi kusikika likitumiwa na mshitakiwa huyo.
Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, leo amepandishwa tena kizimbani mara ya tatu katika kesi ya mauaji ya Kanumba inayomkabili ambapo mawakili wanaomtetea wakiongozwa na Kennedy Fungamtama waliwasilisha ombi la kurekebisha umri wa mshitakiwa huyo kuwa miaka 17 na si 18 kama ilivyowasilishwa mahakamani hapo.


Fungamtama na jopo lake walisema mteja wao ni mtoto mdogo hivyo kesi hiyo ipelekwe mahakama ya watoto na kuwasilisha cheti kinachoonesha ana umri wa miaka 17. Upande wa mashitaka umetupilia mbali ombi hilo na kudai cheti kilichowasilishwa kina mapungufu kadhaa likiwemo jina la Dyana ambalo halijawahi kusikika likitumiwa na mshitakiwa huyo.

AZAM FC WASHEREKEA KUMALIZA MSIMU WA LIGI KUU SALAMA

Wanamuziki wa Kalunde Band wakitumbuiza kwa staili ya kiduku,halfla iliyofanyika jana usiku katika hotel ya JB Montel iliyopo katikati ya jiji la Dar.
Wachezajiwa Azam fc walipata vyeti na nishani za utumiaji bora vipaji vyao ikiwa mchezaji mwenye nidhamu,mchezaji aliedumu katika kiwangi msimu mzima,mfungaji bora,mchezaji shupavu n.k.
Vijana kutoka India waliokuja Tanzania kujifunza soka la kibongo pia nao walipewa vyeti vya ushiriki wao katika msimu huu.
Shafih Dauda mtangazi wa Clouds(michezo) Fm akikabidhiwa cheti na Mh, Idd Azan Mbunge wa jimbo la kinondoni.
Waandishi wa habari za michezo walioandika zaidi habari za Azam fc walitunukiwa vyeti usiku wajana.
 Mtu mzima PJ akizingatia msosi.
 Michael Maurus akiperuuuz na kudadisiii...

HILDER EDWARD AWA MISS USTAWI WA JAMII 2012


Redds Miss Ustawi wa Jamii 2012, Hilda Edward katikakati akipunga mikono baada ya kufanikiwa kutwaa taji hilo usiku wa kuamkia leo katika Shindano kali lililofanbyika katika Ukumbi wa Maisha Club jijini Dar es Salaam. Pamoja nae ni Mshindi wa Pili na watatu wa shindano hilo Nancy Wiliam na Ndenisia Mbowe. Washindi hawa wataungana na washindi wa Vyuo vingine katika Fainali za Redds Vyuo vya Elimu ya Juu Baade mwaka huu na kupata mshindi atakae wakilisha wasomi hao Fainali za Redds Miss Tanzania 2012

Friday, May 4, 2012

HAWA NDIO MASTAR SABA WATAKOSHIRIKI BIG BROTHER AFRIKA




                                                                  Barbz kutoka south africa(mwanamitindo na mfanyabiashara)
                                       Goldie kutoka Nigeria(mwimbaji)

                            Dkb kutoka Ghana(mchekeshaji wa stand up comedy)
                                             Mampi kutoka zambia(mwimbaji)
                                              Mwimbaji Lady may kutoka Namibia

Cmb prezzo kutoka Kenya (mwanamuziki)

                                                                                           Rocki kutoka Zimbwabwe(mwanamuziki)

BREAKING NEWS kutoka multichoice big brother afrika inaanza jumapili itakuwa na mastar kadhaa wa afrika ambao wataingia na kushiriki yaani sio kwa kipindi kifupi kama wengi watakavyodhani ni watakuwa miongon mwa washiriki

Tanzania haijawekwa kwenye list kati ya mastar hao saba na hakuna taarifa yeyote a ziada lakini huenda BBA wanapanga kutufanyia suprise



RAISI KIKWETE ATANGAZA BARAZA LAKE JIPYA LA MAWAZIRI

 Raisi kikwete akitangaza baraza lake jipya la mawaziri
 wanahari wakifuatilia majina ya mawaziri na manaibu wao
Raisi kikwete akiongea na makamu wa raisi na waziri mkuu muda mfupi baada ya kutangaza baraza lake jipya la mawaziri
DK Fenella Mukangara sasa anakuwa Waziri wa Habari Utamadunia na Michezo, wakati aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Dk Emmanuel Nchimbi anahamishiwa Wizara ya Mambo ya Ndani.

Akitangaza Baraza jipya la Mawaziri leo mchana Ikulu mjini Dar es Salaam, rais Jakaya Kikwete alisema kwamba, Dk Amosa Makala atakuwa Naibu Waziri wa Habari Utamadunia na Michezo.

MAWAZIRI

1.              OFISI YA RAIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)
Ndugu George Mkuchika, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)
Ndugu Celina Kombani, Mb.,


2.              OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu Samia H.  Suluhu, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,


3.              OFISI  YA WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri  Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)
Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)
Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,


4.              WIZARA

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Ndugu Samuel J. Sitta, Mb.,

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,

Waziri wa Ujenzi
Dr.  John P. Magufuli, Mb.,

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,

Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Dr. David M. David, Mb.,

Waziri wa Kazi na Ajira
Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Prof.  Makame M. Mbarawa, Mb.,

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Prof.  Anna K. Tibaijuka, Mb.,

Waziri wa Maji
Prof. Jumanne Maghembe, Mb.,

Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
Prof. Mark Mwandosya, Mb.,

Waziri wa  Kilimo, Chakula na Ushirika
Eng. Christopher Chiza, Mb.,


Waziri wa Uchukuzi
Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,

Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,

Waziri wa Viwanda na Biashara
Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,

Waziri wa Fedha
Dr. William Mgimwa, Mb.,

Waziri wa Nishati na Madini
Prof. Sospeter Muhongo, Mb.,


5.              NAIBU MAWAZIRI


OFISI YA RAIS

HAKUNA NAIBU WAZIRI


6.              OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais
Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,


7.              OFISI YA WAZIRI MKUU

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Aggrey Mwanry, Mb.,





8.              WIZARA MBALIMBALI

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira
Dr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Ndugu Adam Malima, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Pereira A. Silima, Mb.,

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara
Ndugu Gregory G. Teu, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Ndugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Mahadhi J. Maalim, Mb.,

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo  ya Makazi,
Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb.,

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,

Naibu Waziri wa Ujenzi
Ndugu Gerson Lwenge, Mb.,

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb.,

Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Ndugu George Simbachawene, Mb.,


Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Ndugu January Makamba, Mb.,

Naibu Waziri wa Uchukuzi
Dr. Charles J. Tizeba, Mb.,

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Ndugu Amos Makala, Mb.,

Naibu Waziri wa Maji
Eng. Dr. Binilith Mahenge, Mb.,

Naibu Waziri Nishati na Madini
Ndugu Stephen Maselle, Mb.,

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Janet Mbene, Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Saada Mkuya Salum, Mb.,

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
4 Mei, 201

Wednesday, May 2, 2012

REDDS MISS UKONGA UTAMU KWA KWENDA MBELE

Warembo wa Redds Miss Ukonga katika kambi yao ya mazoezi iliyopo Ukonga Hill Tech Bar maeneo ya Minazi Mirefu au maarufu Banana wakiwa kwenye mazoezi ya pamoja kujiandaa na siku ya fainalijumamosi hii 05/05/2012 ambapo mshindi anatarajiwakuungana na washindi toka vitongoji vingine watakutana katika Kambi ya Redds Miss kanda ya Ilala kabla ya kwenda kushiriki shindano la taifa la Redds Miss Tanzania 2012.

HELLEN DAVID ATOKA NA CADY CARLIFONIA

Hellen David (Candy California) ambaye alikuwa miongoni kwa washiriki katika kinyang`anyiro cha kumsaka mshindi wa “Tikisa 2011” na kutolewa katika hatua za mwisho za shindano lile, ameachia Track yake mpya inayoitwa “Nimpende Milele” chini ya kampuni ya  Most Record & Production ya jijini dar  es salaam. Hellen au kwa jina la kisanii anaitwa “Candy California” ni msanii ambaye anavipaji vingi, licha ya uwezo wake mkubwa wa kucheza muziki wa kila aina pia ana uwezo mkubwa sana wa kuimba. Most Record & Production waliona kipaji chake ndipo hawakusita kumpa ofa ya kurekodi nyimbo pamoja na video.

Baada ya ofa hii aliyopewa na Most  Record & Production, “Candy California” amepata ofa nyingine ya kurekodi nchini Afrika ya Kusini mapema mwezi Juni 2012, ataweka wazi pale mipango yote.

Picha za chini zinaonyesha shooting ya video ya wimbo “Nimpende Milele” ni video ambayo inayoshutiwa na kusimamiwa na Most Production.


TASWILA YA USHINDI WA KESI YA MPENDAZOE JIMBO LA SEGEREA


Mbunge wa jimbo la Segerea (CCM) na naibu Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Makongoro Mahanga akilakiwa na wafuasi wa wake baada ya kuibuka kidedea katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa jimbo hilo iliyokuwa inamkabili katika mahakama kuu ya Tanzania dhidi ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Fredi Mpendazoe..
Baadhi ya wafuasi wa Fredi mpendazoe na wafuasi wa Makongoro Mahanga
wakiwa nje ya mahakama mara baada ya hukumu ya kesi hiyo kutolewa.
Katika Wafuasi wa Freddy m Mpendazoe wakiwa na picha ya aliyekuwa mgombea wao baada ya kushindwa kesi hiyo.
Askari wa jeshi la polisi wakiwa makini kulinda usalama mara baada
ya kesi hiyo kuamuliwa katika mahakama kuu leo.