Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, June 19, 2010

                         MISS TEMEKE JULY 9 (TTC) CHANG"OMBE
     Shindano la kumsaka nkimwana wa vodacom miss Temeke litafanyika july 9 nkatika ukumbi wa sgara (TTC) chang"ombe jijini Dar.
     Ben Kisaka mwanwa shindano hilo amesema mambo yote yamekalika alikadhalika washiriki wamefundwa na kufundishika wapo tayari kwa mchuano huo kuwania tiketi yakwenda miss Tz.

 MISS KINONDONI YAPAMBA MOTO
     Shindano la kumsaka nmlimbende wa Vodacom miss Kinondoni 2010 inatarajiwa july 2 jijini Dar ambapo warembo wqatapanda jukwaani kuwania taji hilo linaloshikiliwa na lulu  Ibrahim miss kinondoni 2009 .
      kambi ya miss kinomdoni imewekwa katika hoteli ya kisasa ya Giraffe ocean view  iliopo jijini Dar es salaam ambapo siku jana vilisakwa vipaji vya IQ,Michael Maulus alikuwa moja ya majaji wa mtanange huo.

 ANNA KIWAMBO AWA MISS TANGA 2010              
       Shindano la kumtafuta Miss Tanga 2010 lilifanyika Tanga Beach,SAHARE ambapo taji la miss tanga lilienda kwa  Anna Kiwambo,nafasi ya pili ilienda kwa  Jari Mure na ya tatu ilienda kwa Zuleha Mrisho.

     YALIOJILI MISS ILALA 2010
       Shindano la kumsaka miss ilala lililofanyioka june 26 ubungo plaza ambapo Bahati Chande alipotwaa taji hilo akilipokea toka kwa silvia shally.
       Mshindi wa pili alikuwa Consolatha lukas na nafasi ya tatu ilienda kwa Salma Mwakaluka.

   REDDS MISS ILALA VIPAJI KUFANYIKA KESHO JUNE 22 LAMADA HOTEL
       Shindano la kumsaka Redds miss ilala vipaji inatarajiwa kufanyika kesho nkatika hotel ya Lamada apartment iliopo maeneo ya msimbazi ambapo kambi ya zone hiyo imewekwa.
       Aidha itapambwa na vijana wa THT na burudani zingine ambapo kwa mwaka jana Redds miss ilala lilienda kwa mshindi wa tatu toka kitongoji cha ukonga(husna).
       Hii ni baada ya kurudi mafunzoni mkoani Tanga na kuudhulia ufunguzi wa mashindano ya magari na Miss tanga 2010.show itaanza saa tatu usiku.

        GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL  YATUNUKIWA  HADHI  YA  NYOTA  NNE(4 STAR)
Wizara ya  Maliasili na Utalii imezipandisha hadhi hoteli 66 katika mikoa wa es salaam na Pwani ambapo hoteli tatu tu zimepata hadhi ya nyota tano.
   Akizitunuku hadhi hoteli hizo jana Waziri wa Maliasili na Utalii Bi. Shamsa Mwangunga alizitaka kutumia mazao na bidhaa zinazozalishwa nchni ili kuzitangaza na kuinua pato la Taifa na kupunguza umasikini kwa wananchi wake.
    Bi Mwangunga aliingia mkataba wa ushirikiano na sekta binafsi katika kuendeleza sekta ya utalii ambapo aliitaka sekta hiyo kukabiliana na changamoto zinayoikabili sekta ya utalii nchini hususani utoaji huduma kwa watalii.
(PICHA1;Mkurugenzi wa giraffe ocean view hotel bwana Charles Bekon akipokea nyota toka kwa Waziri wa maliasili na Utalii Bi.Shamsa Mangunga. PICHA2: Wafanyakazi wa Giraffe hotel wakiwa na nyuso za furaha huku mkurugenzi Bwana Charles Bekon akiwa ameishika nyota hiyo na kulia kwake ni GM,kushot ni Bwana Chama).
    Giraffe ocean view hotel ni moja ya hoteli 66 zilizzopandishwa hadhi na kufikia hadhi ya ya nyota nne katika kutoa huduma,ambapo vigezo vya Afrika mzshariki ndivyo vilivyotumika kuipandisha Giraffe hotel ambapo wataalam waliobobea katika dulu hilo kuona inastaili kupanda hadhi.
    
   Giraffe hotel ni hoteli inayopatikanana Dar es salaam nchini Tanzania pembezoni mwa bahari ya hindi,africana beach off Bagamoyo road,pia ho0teli hii inasifika kutoa misaada ya kijamii kwa wananchi wa Tanzania na kudhamini matukio mbalimbali yanayohusu kutangaza utamaduni wa mtanzania eg;Miss Tanzania event ambayo inatoa ajira kwa vijana wengi pamoja na kulitangaza utalii wa taifa letu kimataifa kila maka.
   Hafla hiyo ilifanyika leo katika ofisi za wizara ya maliasili na utalii jijini Dar es salaam
giraffe@giraffeoceanviewhotel.dom ,p.o.box 33909,mobile +2550784145899,plot No. 169 moduli road.

                                          MISS MWANZA KURINDIMA KANDA YA ZIWA
             Shindano la kumsaka kimwana wa mkoa wa mwanza katika shindano kubwa nchini la Vodacom Miss Tanzania,mkoa wa mwanza imekuwa ni gumzo kwa watanzania wote ikiwa inatizamiwa kama historia itaendelea kuwekwa kwa mara ya tatu mrembo toka mwanza kunyakua miss Tanzania kwa mara ya tatu.
             Washiriki wa mkoa huo wameanza kutambniana kila mmoja akitumaini kuvunja rekodi ya miriam(queen of Tz) kwa mwaka huu ambapo june 25(miss mwanza) katika ukumbi wa yatch atajulikana nani atabeba bendera ya nkoa huo kuelekea Miss lake Zone ambayo itafanyika july 7 mwaka huu katika ukumbi wa yatch club jijini mwanza.
               Kampuni ya sisi Entertainment kupitia mkurugenzi wake bwana John Dotto amesema jumla ya washiriki 18 watapanda jukwaani kuwania taji la mkoa wa mwanza lenye sifa ya aina yake katika medani ya urembo nchini.


Wednesday, June 16, 2010

UMARIKIA WA MIRIAM GERALD WAANZA KUMEGUKA KUANZIA JUNE 25MIRIAM GERALD
Malikia wa urembo nchini Tanzaniua Miriam Gerald(the queen of tz),umalikia wake utaanza kuangunguka  kuanzia june 25 ambapo mtanange wa kumsaka Miss Mwanza jimbo ambalo alilotokea  kwa kunyakua ushindi kabla yakuwa Miss Lake Zone ambapo alifanya maajabu tena na kuwa Miss TZ  ambapo alivunja record ya nasreem kharim.
Miss mwanza mwaka huu itafanyika june 25,yatch club jijini mwanza.

MICHAEL YOGAYOGA
Mwanasarakasi wa kimataifa michael mwenye staili ya yogayoga katika fani hiyo anatarajiwa kufanya tour nje ya nchi baada ya kombe la Dunia katika nchi mbalimbali ulimwenguni..
  Michael amesema baada ya kurudi nchini atafanya ziara katika mikoa ya Tanzania kueneza sanaa hiyo kwa watoto wadogo.
   Lengo la mihael ni kusaidia waoto yatima ili wajisikie nao pia wana haki upata kila kitu kama watoto wengine.

MISS ILALA ZIARANI TANGA
Kambi ya miss ilala inategemewa kuondoka jumamosi ya kesho kwenda mkoani Tanga kwaili ya mafunzo zaidi.
Aidha wakiwa Tanga watapata nafasi yakujifunza mengi ikiwa ni pamoja na kutembelea mapango ya Amboni na fukwe maridhawa,pia watahudhuria ufunguzi wa mbio za magari zinazotarajiwa kutimua vumbi karibuni.
WAKATI HUO HUO ; washiriki wa miss ilala watapata nafasi ya kuona shindano la kusaka miss Tanga.(pichani katikati ni kalikumtima).

WELCOME TO GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL
karibu giraffe hotel upate huduma za chakula,vyumba vya kulala,vinywaji,ukumbi wa mikutano,swimming pool,bar,tradition food,internet,gym and many more...
Richa Adhia & Nasreen Kharim wakipata chakula kitamu katika hotel ya giraffe iliyopo jijini dar katika fukwe za mwambao wa bahari ya hindi.


KELVIN MODEL (NEW MODEL)
.
Kelvin Bonie ni model mya katika ilimwengu wa anapata shavu la ukweli kwenye uniqueentertz kuonekana world wide through here.

ELIZABETH B.one of my friends who reading stories from uniqueentertz.blogspot.com everyday,she is 18 years old(from abroad).

Sunday, June 13, 2010

PRISCA NKONYI AWA MISS KILIMANJARO 2010TUKIO LA MISS LINDI 2010

Shindano la kumsaka mlimbwende wa mkoa wa Lindi lililofanyika tarehe 29 may 2010 katika hotel ya Lindi Oceanic mjini Lindi.
Mshindi alikuwa Mary Adam ambapo nafasi ya pili ilenda kwa Safiana Hilary na nafasi ya tatu ilitwaliwa na Salma Omary.
Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Lindi mh.Magalula.S.Magalula.shindano liliandaliwa na kampuni ya alliance entertainment.
MISS SOUTH AFRCA 2010  YAANZA MCHAKATO WA KUSAKA WAREMBO WA KURITHI NICOLE FLINT WA MWAKA JANA.       

    
AZIZA  ALLY  KUVISHWA TAJI LA MISS PWANI 2010
        Aziza  Ally ndie bint pekee aliebahatika kutwaa taji la miss  pwani 2010 akifatiwa na shamu  Ally(kulia)   na wa  tatu alikuwa Magreth Akonai mtanange uliopigwa  katika ukumbi wa  kibaha  contena    mkoani pwani siku ya june 12.
  Ka ma univyoona swala la mvuto   liliku si jambo la kuuliza kila mrembo alijipanga  kimavazi na mapodozi .ama kweli miss tanzania ya mwaka  huu si mchezo.asie na mvutasubili kuangalia  mabinti wa kitanania .
WAKATI HUOHUO:     MISS  LAKE ZO NE , INTEGEMEWA KUFANYIKA  JUNE 7
 JIJINI MWANZA

Kwa staili hii THE GREAT atauwa   mtu...haya bwana ..ujue na wewe   martine  ...umo...umo lakini  ngumi unaziweza kaka.....     !! .