Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, July 30, 2011

WADAU NIKO FUKWENI NAKULA BATA NA MDOGO WANGU FROLAH

Florah ni model mpya katika ulimwengu wa mitindo.
Superman Magese akiwa na mgogo wake Frolah a.k.a florah model katika picha ya pozi pande za fukweni.
Nice weekend ma pipooooo..!!


VIBWEKA VILIVYOJILI KATIKA REDDS MISS IIALA 2011
 Michael Jackson nae alikuwepo.
 Mhhh. mtu mzima Edwin nae hakukosa mapya na mrembo.
 Best anakula nini hapa?...kwa maria wa twanga pepeta
 Maria akijiachia na tatuu kiunoni mbele ya kamera ya uniqueentertz blog.
Wacha wee.. ni mapozi tu hayo.


Mackrine Jastine awa Miss Tourism Mbeya

Miss Tourism Mackrine Jastine akiwa mwenye sura ya furaha mara baada ya kumtangaza mshindi wa shindano la Miss Tourism Mbeya lililofanyika hivi karibuni jijini Mbeya
Toka kushoto ni mshindi wa tatu Dina David katikati mshindi wa kwanza Makrine Justine kulia kabisa mshindi wa pili Anna Barnabas
Washiriki wa Miss Tourism Mbeya wakiwa katika mavazi ya Ubunifu.

SALHA AWA REDD'S MISS ILALA 2011

Redds Miss Ilala 2011, Salha Israel akiwa na Mshindi wa pili Alexia William na Mshindi wa tatu Jenifer Kakolaki.
jackson kalkumtima
Bend ya African Stars.
Warembo wakifungua show kwa kudance.
     Wanne star  akiburudisha.
Jennifer akifanya mambo yake.
Vazi la ufukweni

Warembo wakionesha vipaji

 

Jacqueline Walper akifatila kwa makini ambae alikuwa jaji wa vipaji.
majaji wakifatilia kwa makini mchakato.