Mmoja wa warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss kanda ya  mashariki akipita na vazi la ubunifu katika siku ya kumtafuta Balozi wa  Usambara Hotel Lodge mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo.
  Warembo tano bora wa Vodacom Miss kanda ya Mashariki walioingia katika  kinyanganyiro  cha onyesho la kusaka vipaji na Balozi wa Usambara Hotel  Lodge,Onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania.
  Ofisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akiwapa mkono wa  pongezi warembo tano bora wa Vodacom miss kanda ya Mashariki walioingia  katika kinyanganyiro cha onyesho la kusaka vipaji na Balozi wa Usambara  Hotel Lodge
CHAMELEONE AONYESHA URAFI WAKE! 
Artist Jose  Chameleone toka Uganda aliwaacha                   watu hoi baada ya kuonesha talent yake nyingine kwa kupeleka pwani                    msosi wa nguvu uliojaa sahani. 

Kulikua kuna sherehe pande za  Masaka na fans wake wakamkaribisha                   lakini walishangaa  baada ya Chameleone kujaza pilau na viazi kwenye                   sahani kama wanakula mtu 3 na kufuta msosi wote....
Fans  na wadau waliokuwepo walishangaa kipaji kipya cha Chameleone                      cha kula,ila kilichowatia mashaka ni inakuaje anakula kupita  kiasi lakini                     hana mwili...?
DAVID JAIRO AFUKUZWA KAZI
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya  Nishati na Madini, David Jairo, amesimamishwa kazi rsmi leo kufuatia  kutangazwa rasmi habari hizo na Katibu Mkuu Kiongozi, Phillemo Luhanjo  wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo mchana. 
RIHANNA AMSHIKA MAMA YAKE PABAYA

RIHANNA AMSHIKA MAMA YAKE PABAYA
Rihanna is known to grab other women's breasts ... and this is time  it was her MOM!!! Her grandmother was also there, as an innocent  bystander.
The next day, Rihanna  was spotted carrying a large Fendi bag as she walking into a building  for a sexy photoshoot. No details on what the shoot was for, but Rihanna  did stop by her label and she's waiting for the fall to do big things.
The "Only Girl In The World" singer tweeted, "#DefJam I just left the building!! Great shit RihannaNavy!! Grreaat shit! Can't WAIT for this fall."
 
 



No comments:
Post a Comment