Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Tuesday, July 19, 2011

EXCLUSIVE: NAPE AMPONGEZA ROSTAM AZIZ KUJIUZULU

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, aliyasema hayo wakati akiongea na baadti ya waandishi wa habari wa Mbeya katika ukumbi wa Hotel ya Paradise amesema Chama hakina la kusema, lakini kikubwa ni kuwa amefanya jambo jema, kwa kuitikia wito wa Chama, uamuzi ambao ni mzuri na wa busara," alisema Nape. Kuhusu mkutano wa hadhara wa mjini Mbeya, Nape alisema unalenga kuwaelezea wanachama wa CCM na wananchi kwa jumla, juu ya mabadiliko ya uongozi ndani ya Chama, msingi wake ili waweze kuelewa, CCM imetoka wapi, ipo wapi na inakwenda wapi,
Baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya wakimsikiliza kwa makini KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye 


VIMBWANGA VYA NDOA YA MTANDAO

True love is in the air when you talk about Doug Anthony Hutchinson and Courtney Alexis Stodden.
The two met on the internet when Courtney wanted to take an acting class at one of Doug’s workshops.
In an interview with Good Morning America, the two spoke about how they met, how they got married and how they will live the rest of their lives.
The two claim that they did not have any physical contact with each other for the first four months of their relationship and that's exactly why they fell in love.
WHOA! 51-Year-Old "Green Mile" Actor Marries 16-Year-Old Courtney Anne Stoudden 
Courtney also claims that she is a devout Christian, despite her porn-star looks.
She says she was a virgin before the two consummated their relationship after marriage and it was God who made her certain that by marrying someone four years older than her father, she had been blessed.
Check out the interview that the couple did on Good Morning America below and pictures of the couple on the next few pages.






MISS LAKE ZONE WAFANYA USAFI SEKOU TOURE
Warembo wa Vodacom Miss Lake zone 2011 walishiriki kufanya usafi katika Hospitali ya mkoa ya Sekou Toure.Mrembo Lydia Fredric akifanya usafi katika moja ya wodi za wazazi katika hospitali ya mkoa ya Seketoure.Warembo wa Vodacom Miss Lake zone 2011 wakifurahi kumbeba mtoto.Mrembo Jackline Dismas akikabidhi Mche wa sabuni kwa Mama mjamzito katika moja ya wodi za wazazi katika Hospitali hiyo ya Mkoa.Warembo wa Vodacom Miss Lake zone 2011 pia walipata fursa ya kutembelea soko la Kimataifa la Mwaloni jijini mwanza, hapa wanaonekena wakiuliza maswali juu ya biashara ya dagaa na samaki mwa kukaushwa sokoni hapo.Warembo wa Vodacom Miss Lake Zone 2011, wakipata maelezo kutoka kwa mwenyekiti wa wafanyabiashara wa soko la Mwaloni ambaye pia ni diwani wa kata ya Mwaloni Mh. Novak Manoko mwenye shati jeupe. Muongozaji kutoka Vodacom bi. Miriam, akitoa maelezo ya utendaji kazi wa ofisi ya Huduma za mawasiliano Vodacom Mwanza.Baadaye Warembo wa Vodacom Miss Lake zone 2011 walielekea Kiwanda cha Bia TBL ambako walijionea shughuli mbalimbali za utengenezaji wa vinywaji vizalishwavyo na kampuni hiyo. Pichani wakiwa wamepozz na muandaaji wa shindano Bi. Clara.
Jumamosi ya tarehe 23 july 2011.







 JOHAN HILL'S NA JORDAN KLEIN WADENDEKA KWEUPEE!

Jonah Hill's recent weight loss has him full of energy for his long time girlfriend Jordan Klein.
  The two were all lovey dovey while heading to have lunch with a friend. Jonah kissed and hugged his girlfriend as the paparazzi watched and snapped photos like crazy.
  In true funny man fashion, Jonah Hill got a parking ticket while he made out with his girlfriend in public. Did we mention she was spotted eating a chocolate covered banana? If that isn't the foundation for a great joke, we don't know what is! 
  Needless to say, Jonah didn't let that ruin his day, he continued to smile and be happy with his girlfriend.
Check out these new pictures of a slim Jonah Hill getting his groove on with his lady.