Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, July 11, 2011

EXCLUSIVE:AMISUU AMSANUA MPENZI WAKE

        Miss sinza anaemalizia muda wake Amisuu Mmaliki jana nyakati za saa mbili usiku pande za coco beach alionekana na mpenzi wake mpya ambapo jina la jamaa huyo halikupatikana kirahisi kutokana na wanafamilia zake kukataa kuipa uniqueentertz blog maelezo ya kina kutokana ujio wa bwana huyo shalobaro alienyoa staili ya kiduku.
    Jamaa huyo alionekana ni mwenye menye wivu sana japo haongei sana maana baada ya kuwasili fukweni hapo Amisuu alinikimbilia na kunihug wakati jamaa huyo anadeku kwa jicho flani mpaka pale alipopewa intro kuwa namfahamu toka zamani jamaa akapoa kiaina.
    Kwa mazingira yaliopo ni wazi jamaa anataka kuchukua jumla kwani inaonekana anakubalika sana katika familia ya mnyange huyo na mtoko huo ulijumuisha dada,ma mdogo na mashangazi zake na mrembo huyo kwaajili ya chakula cha usiku katika fukwe hizo maarufu sana jijini Dar. shout-out!
Naitwa Hamisi Baba a.k.a H-bAbA kila siku natizama blog ya uniqueentertz,keep right here.picha ya jana usiku tukiwa coco beach.
EXCLUSIVE: ZED ANTO AKIFANYA SHOPPING YA MATUNDA

Kamera yetu ilimnasa msanii mahili wa bongo flava zed Anto akinunua matunda kwaajili ya msosi wa mchana leo jumatatu mida ya saa tano hivi.

VIJIMAMBO NA WEEKENDI ILIYOPITA
 Vijana wa kitanzania tamthilia zimewaingiza majaribuni..hapa wako new york kifkra.
Pozi la kimauzo zaidi.
 Mutu moja totozi mbili
Carina na rafikie uso kwa uso na kamera yetu
Kijana akijinadi kutupia ndimi 1..2..3..mmmhwaaaa..

No comments: