
Artist Jeffrey  Atkins ama Ja Rule ambaye kwa sasa anatumikia kifungo                    cha miaka 2 jela kwa kosa la kukutwa na silaha kinyume na sheria  kwa                  sasa amepewa mvua nyingine ya miezi 28 ikiwa ni  miezi 5 zaidi,baada ya             kukiri kutolipa kodi kwa muda wa  miaka 5
Msanii Ja  Rule alikubali kulipa zaidi yadola milioni 1.1 kama kodi na faini  kuanzia            mwaka 2004-2008 na alikamatwa na bastola pande za  Manhattan kwenye  concert mwaka 2007 na alianza kutumikia kifungo tangu  mwezi na               anatarajiwa kuzindua album yake mpya iitwayo Pain  is Love 2 baadaye               mwaka huu.
KAZI TIME!
Kijana muuza machungwa akiokota machungwa chini baada ya ya tololi la kuuzia kupinduka.
Kazi ni kazi mapipoo! ilimradi mkono unaenda kinywani,vijana tuchape kazi tutatoka!
KENDRA AFANYA VIOJA NA MUMEWE UFKENI
Kendra Wilkinson  is set to start filming her show again and what better way to kick that  off than by hitting the beach with her husband Hank and the kid?
The former Playmate and her family splashed around in the water, built sand castles and Kendra even exposed some cheek.
Hank went in to give his wife a hug and accidently, on purpose,  lifted her skirt for the camera. Yes. We said 'accidently' on purpose!
DMX ATOKA JELA 
 
  Rapper Earl Simmons aka  DMX ameachiwa baaday akumaliza kifungo chake cha miezi nane ambapo alihukumiwa mwaka mmoja katika gereza la Arizona pande za              Yuma, huko USA.
 kitu pekee alichokikumbuka zaidi wakati akitumikia kifungo chake ni bintake. 
 NA; KING KIF{SOURCE}
---
Rihanna is red hot, drunk and crunk!
 The "Only Girl In The World" singer didn't waste any time getting  wasted during her performance last night in Atlantic City, NJ. 
 
 
 


No comments:
Post a Comment