Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Sunday, July 10, 2011

ZUBEDA SEIF AWA MISS KANDA YA KASKAZINI


Warembo wote watano wakiwa katika picha ya pamoja wa katikati ni Zebeda Self miss kanda anayemfata kushoto ni mshindi wa tatu Rose Habati kulia kwake ni mshindi wa pili Stece Alfred amfatae mshindi wa pili ni mshindi wa nne Dorikas Jeradi wote wakionyesha nyuso za furaha
mshindi wa miss Vodacom kanda ya kaskazini, kati kati, Zebeda Self, akiwa na mshindi wa pili Stece Alfred na mshindi wa tatu Dorcas Jerald jana mara baada ya kutangazwa wahindi katika shindano lililofanyika Snowcrest hotel
Meneja wa kanda wa kampuni ya Vodacom ambao ndio wathamini wa kuu Mr.Nguvu akiwa na mshindi wa kanda mara baada ya kutangazwa
miss Vodacom Kanda ya kaskazini zubeda self toka mkoani Tanga akiwa anapita jukwaani juzi katika hoteli ya Snowcrest katika shindano lililoshirikisha warembo 12
mrembo aliyeshika nafasi ya pili kushoto ambeye ametokea mkoa wa Arusha Stece Alfred akiwa ameshikana mkono na mrembo aliyeshika nafasi ya kwanza aliyetoka mkoani Tanga zubeda self kabla ya kyutangazwanani kati yao ndie kawa mrembo wa kanda ya kaskazini
msanii wa kike anayetamba na nyimbo mbalimbali za mapenzi kutoka katika kundi la THT Lina akitumbuiza jukwaani katika usiku huo wa kumsaka mrembo wa kanda ya kaskazini
warembo wote wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchujo wa tano bora
warembo wa kanda ya kaskazini wakicheza wimbo wa utambulisho jana.

TOP PICs OF A DAY

ni pozi la kuvaa sox
Bria Myles na mambo ya jikoni mmmhh..

Ciara,Trina wahudhuria Monica’s Pre-Wedding DinnerLaker wife & soul singer Monica is having a second wedding today in LA. She was spotted out with her husband Shannon Brown last night at BOA where the couple celebrated their upcoming nuptials with close friends and family. Bridesmaid Ciara, as well as Trina, and Ludacris’ girlfriend Eudoxie were among guests that came out to toast to the couple as they prepared for their big day.
 
 
 
 
 
RIHANA ASIMAMISHA SHOW BAADA YA SHOTI YA UMEME KUTOKEA STEJINI
Rihanna's concert in Dallas last night was forced to end early last night after the a fire broke in the lighting area above the stage. 0709_rihanna_fire_video

The American Airlines Center had to be evacuated, which didn't sit well with fans since RiRi was reportedly an hour late going on. Adding to the disappointment, Rihanna's 2010 concert in Dallas was canceled as well, for unspecified reasons.
 
 
Mama pipiro na msosi
 
Misosi na bia kisha tunatoa bonge la newzzz

No comments: