Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, December 11, 2013

UNIQUE MODEL 2012, REWIND

Mshindi wa shindano la Unique model 2012Catherine Masumbigana akionyesha mavazi katika onyesho la mavazi la Lady in Red,onyesho hili lilifanyika Serena hotel jijini dar mwishoni mwa wiki iliyopita.
Unique model Catherine alipokabidhiwa tuzo ya mwanamitindo alievaa vazi la lady in red fashion show 2013.
 TUJIKUMBUSHE YALIOPITA
  Winnie shayo.

UNIQUE MODEL 2012, REWIND

MSHINDI wa Unique model 2012 Catherine Masumbigana akiwa na watoto wagongwa katika hospitali ya CCBRT iliyopo msasani jijini Dar es salaam,Catherini alipata fulsa ya kuongea na watoto hao kwa kuwafariji,kuwaonesha upendo na kuwapa zawadi mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kazi za kijamii katika taji lake.
Mtoto huyu akiwa na majeraha ya kuungua kwa moto.
 Unique mode Catherine akishow love kwa kabebii.

USAILIUNIQUE MODEL 2012, REWIND


Shindano la kumsaka mwanamitindo mwenye vigezo vya kipekee nchini Tanzania(unique model) linaloandaliwa na Unique Entertainment limezinduliwa leo jumatano kwa kishindo katika hoteli ya Holiday Inn iliyopo katika ya jiji la Dar es salaam mbele ya waandishi wa habari

YALIOJILI BAADAE

 Unique model Catherine akiwa katika pozi na Judie Sangu kipindi cha kambi ya shindano la unique model 2012.
Mandhali tulivu katika fukwe za hoteli ya Giraffe ocean view iliyopo jiini Dar es salaam. 

UNIQUE MODEL 2012 , REWIND

 Unique model 2012 moja ya event kubwa za mitindo nchini Tanzania,hapa mwanamitindo Zeenath akionyesha uwezo wa miondoko ya kimaonyesho ya nguo.
 Unique models wakionyesha uwezo wa kudansi jukwaani.
Mambo yalikuwa hivi wadau.
 Majaji wakifanya yao.
 Mshindi namba tatu Amina Ayoub akiwapungia watu mkono baada ya ktangazwa.
 Hali ilikuwa namna hii wadau.
 Majaji wakitangaza matokeo.
 Elizabeth Pertty Unique model-Talent 2012 akipungia watu baada ya kutangazwa.
 Mwanamitindo akionyesha kipaji cha kuigiza kwa kutoa ujumbe kuhusiana na gonjwa la ukimwi.
 Unique model of the year 2012 Catherine Masumbigama akipungia mkono mashabiki baada ya kutangzwa kuwa ndiye mwanmitindo wa mwaka 2012-2013.
 Catherine akiwa na Balozi wa shindano la unique model Roseminner.
 Grand finale.
 Vestina Jax Unique model-Talent akifanya yake jukwaani.
 Top five ni Zeeenath Ayoub,Cecilia Emmanuel,Elizabeth Pertty,Catherine Masumbigana na Amina Ayoub.

UNIQUE MODEL 2012 REWIND

Mwanamitindo namba kumi na mbili kiunoni Catherine Masumbigana ameibuka mshindi wa shindano la Unique model 2012 akifatiwa na Cecilia Emanuel huku nafasi ya tatu ikiend kwa Amina Ayoub.
 Mwanamitindo Mwajabu Juma akimvisha taji mshindi wa Unique model- photogenic Elizabeth Pertty baada ya kutangazwa.
Red carpet yetu ilikuwa hivi.
 Balozi wa shindano la Unique model Roseminner akimvisha taji mshindi Catherine Masumbigana baada ya kutangazwa mshindi wa shindano hilo kwa mwaka 2012.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPO  OLDER POSTs.