Mshiriki Hope toka Burundi amejikuta 
akianguka chini kwa mshituko wa furaha ulimkuta baada ya kuibuka kidedea
 kwa kutangazwa mshindi wa Tusker Project Fame na kujinyakulia kitita 
cha Shilingi 5,000,000/= za Kenya .
Mashindano hayo yaliyomalizika jana usiku na yamemwacha Hope katika taharuki huku akiwabwaga wenziye;
 Hisia (Tanzania), Patrick (Rwanda),Wambura (Kenya), Daisy (Uganda),Amos
 & Josh wa Kenya(Pichani chini).
Sauti ya pekee ya kijana huyo imeibua 
thamani yake katika tasnia ya muziki,Hope hakuwahi kufanya video 
shooting ya wimbo wowote zaidi ya ule uliompatia ushindi wa Tusker.
Tembelea You-tube kuona yaliyojiri katika mashindano hayo.
 
 

No comments:
Post a Comment