Mambo niaje wakuu..sijui hata nianzie 
wapi?...hawa wanawake...!! basi tu!!basi bwana nmekua nikimdate dada 
mmoja mwenyeji wa iringa .sio siri kwa haraka haraka nlijua huyu 
ananipenda kwa dhati, mie kiukweli nlimpenda sana.
Tumedate kwa almost 
mwaka na nusu,kwa mda wote huo sharti ilikua ni hakuna kugegendana mpaka
 tufunge ndoa.Kidume nlijipa moyo nkajikaza kwani mama nilihus namjua 
sana ni mlokole haswaa mpka watu uwa wananishangaa nlimptaje coz mie 
cnaga swaga za kilokole,aliku kesha nihakikishia kua yeye ni bikira na 
ajawai ku do.Kwa mda wote wa mapenzi yetu nmekua nikijaribu kuomba 
mchezo ila ilishndkana.juzi kati ulizuka ugomvi mkubwa sana kati yangu 
na yeye kisa kikiwa ni hicho hicho kugegenda,Mimi nkiwanataka yeye 
ataki,tumekaa bila kuongeleshana kwa almost wiki nzima,jana ijumamosi 
ndo aliamua kuvunja ukimya na kuniita niende kwake ili tusort out ili 
tatizo.
Tuliongea mengi ila dada bado alikua kashikilia msimamo wake ila 
akaniomba nimpe mda kidogo afikilie jinsi ya kulifanya 
hilo,nlimkubalia,basi ile kuangana kwa hugs na kisses tukajikuta 
kitandani bahati nzuri ni kama she was 50/50 kufanya,na mie sikutaka kua
 ---- nikatoa dudu fasta nikijua leo ndo naifumua zawadi yngu ya 
chrsmas...mmmh..nlichokikuta huko staki kuamini mpka sa hvi..nahisi mie 
nlikua mwanaume wa 20 kuzamisha. Hata gori nlishdwa kupiga kwa sababu ya
 mawazo nlokua nayo,nlivaa surua yangu taratibu. nkimwacha demu analia 
sana uku akiniomba msamaha daa wanawake siwatamani tena..
 
 

No comments:
Post a Comment