Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, May 31, 2014

RED CARPET -DIAMOND CONCERT HOUSTON TEXAS.....JUMAMOSI HII NEW JERSEY


DIAMOND NDANI YA WASHINGTON, DC

 Diamond Plutnumz akiongozana na wasafi pamoja na Dj Romy Jons (Dj wake) kulia wakiwa na mwenyeji wao DMK wakiwasili tayari kukutana na mashabiki wake waliofika kwenye mgahawa wa Safari, Washington, DC kumsubili na kupiga nae picha.
  Diamond Plutnumz akiwa ndani ya mgahawa wa Safari na kruu wake katika picha na mashbiki waliofika kumsabai na kupiga nae picha.
 Mashabiki wa Diamond wakipata ukodak moment na Diamond Plutnumz mara tu alipotua ndani ya mgahawa wa Safari siku ya Ijumaa May 30, 2014.
 Shabiki akiwa bado na kiu ya kupata ukodak na Rais wa Wasfai, Diamond kulia ni DMK poromota wa msanii huyo ambaye ndie anayekimbiza sasa hivi na akiwa nominee wa MTV africa na BET award itakayofanyika nchini Marekani June 29, 2014.
 Diamond akiongea jambo na Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka
 Mashabiki wa Diamond Plutnumza wakipata picha ya pamoja na Rais wa Wasafi.
 Mashabiki kutoka jirani zetu Kenya nao wakipata picha na Prezidaa Diamond Plutnumz walipofika kwenye mgahawa wa Safari uliopo Washington, DC.
 Madancer wa Diamond wakiwa na Prezdaa ndani ya mgahawa wa Safari Washington, DC.
 Mtasha wa Kimarekani aliyewahi tembelea Tanzania nae hakuwa nyuma kupata picha na Diamond ndani ya mgahawa wa Safari ulipo Washington, DC
 Shabiki akiwa na furaha kupata ukodak na Rais wa Wasafi Diamond Plutnumz
 Diamond akiwa na shabiki wake katika picha ya pamoja.
Shabiki wa Diamond hakuwa nyuma katika kupata ukodak wa kumbukumbu.
 Shabiki wa Diamond akipata picha ya pamoja na Prezedaa wa Wasafi.
 Shabiki kutoka kwa jirani zetu nae akipata picha huku akijaribu kupata picha kwenye simu yake.
 Dj Romy Jons akipata picha ya pamoja na mashabiki kwenye mgahawa wa Safari uliopo Washington, DC.
 Shabiki katika picha ya pamoja na Diamond.
 Shabiki na Diamond katika picha ya pamoja.
 Shabiki akipozi kwa picha na Diamond.
Shabiki akipozi kwa ukodak moment na Diamond.
 Shabiki wa Diamond akipata picha na rais huyo wa Wasafi.
 Shabiki akipata picha na Dj wa Diamond, Dj Romy Jons
Shabiki akipata picha na Wasafi.
Mashabiki katika picha ya pamoja na poromota wa Diamond, DMK.

XGIRLFRIEND WA DAVIDO AFANANISHWA NA KIM KHuyu anaitwa Nish Kards, kutoka Ghana alikuwa mpenzi wa mwanamziki maarufu kutoka Nigeria, Davido, Kupitia ukurasa wake  INSTAGRAM, followers wake wamekuwa wakimfananisha na Kim Kardashian na kumuita The Ghana’s Kim Kardashian.

MTANDAO WAMPA MCHUMBA OMMY DIMPOZ

OOmmy Dimpoz amefunguka na kudai kuwa mitandao ya kijamii imempa mke mchumba.

915559_591874717578603_1984267566_n
Mrembo wa Ommy Dimpoz
\
Ommy amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa yeye na msichana huyo waliweza kukaa kwa muda wa mwaka mmoja wakichati bila kuonana.
“Social network zilisaidia kutuunganisha lakini matokeo yake mpaka tukaja kuonana. Mpaka nikaja kwenye tour tukaonana, si unajua kuna zile mzee unashangaa ma Instagram mtoto ka like picha kama tisini hivi, halafu ukichekecha unaona mbona kama umechorwaee ,bahati nzuri ilipoanzishwa instamessage kwahiyo kama unajiiba hivi.

Ni Mtanzania, mpaka kuonana ilichukua kama mwaka, tumechat tumechat mpaka ikafikia time, sina haraka kwanini niwe na haraka, kuamiana kunakuja automatically,” alisema.

“Unajua mambo ya mapenzi Mungu mwenyewe ndio anajua, pengine wengine anaweza wewe ukawa muuza mkaa demu akaja kununua mkaa.

Lakini lile kopo unavyolishika kimachejo wakati wa kupima yeye anapenda ule upimaji wako, kwahiyo kuna kitu kama hivyo haijalisha mnakutana wapi, ikiwa tu mmewekea mipaka yenu, masharti hivi na hivi maisha yenu yanaenda.”

MWILI WA MAREHEMU GEORGR TYSON WAWASILI JIJINI DAR

IMG_4263Rapper AY aliungana na watu wengine waliokuwa karibu na muongozaji wa filamu George Tyson, kufanikisha kusafirishwa kwa mwili wake kutoka hospitali ya mkoa wa Morogoro kuletwa jijini Dar es Salaam. 

George Tyson alifariki jana kwa ajali ya gari. Mwili wake umeletwa jijini Dar es Salaam na utafikishwa kwenye hospitali ya Kairuki iliyopo Mikocheni na huku msiba ukifanyika nyumbani kwa marehemu maeneo ya Bahari Beach.
IMG_4257
IMG_4275
IMG_4276
IMG_4277
IMG_4294
IMG_4296
IMG_4297
Screen Shot 2014-05-31 at 3.46.30 AM

...Mariah Carey Rides the Subway in Glittery Gown...

Mariah Carey
Even the Elusive Chanteuse rides the subway. Mariah Carey traded her chauffeured-driven vehicle for a more modest form of transportation.
The biggest diva of them all took the subway home from the Fresh Air Fund gala in New York City, where she was honored earlier in the evening. Donning a sparkly blue ball gown and sunglasses, Mimi headed onto the D train with her entourage in tow including Jermaine Dupri, BET executive Stephen Hill, and her bodyguards.
“I figured since I’m underdressed, we might as well take the subway,” said Mariah, who documented her travels on Vine.
The “#Beautiful” singer is not the first megastar to commute with the common folk. Rihanna and Jay Z have both taken the train to their concerts.
Mariah will perform a special concert from her home in Bel-Air and sit down with Matt Lauer for a one-on-one interview during the NBC special “Mariah Carey: At Home in Concert with Matt Lauer,” airing Saturday at 8 p.m.
According to HITS, her album Me. I Am Mariah…The Elusive Chanteuse is expected to sell 55-60,000 copies in its first week.
See Mimi’s glamorous subway adventures below.

Mariah Carey

AJALI MBAYA YATOKEA MDA HUU KATI YA GARI NA TRENI ENEO LA KALOLENI-TABORA

Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugonga Treni eneo la kaloleni
Gari ikiwa imeharibika vibaya sana baada ya kugonga Treni
Wanainchi wa eneo hilo wakiwa wanatazama ajali hiyo baada ya kutokea
Taarifa zaidi itawajia Baadae  tunafuatilia kama kuna waliojeruhiwa na vifo.

SERENGETI BREWERES YAZINDUA GAMBE MPYA "SERENGETI PLATNUM"

 Wadau wakifurahia uzinduzi wa kilaji kipya cha Serengeti Platinum katika kiota cha maraha cha Escape 1 Mikocheni Mlalakuwa jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo  Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL),Ephraim Mafuru (kulia) akiungana na wadau kukaribisha kilaji hicho kipya  Fashifashi za uzinduzi wa kilaji kipya. Chupa hiyo ilishushwa na helikopta   Vijana wa THT wakinogesha hafla hiyo Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL),Ephraim Mafuru na Meneja Masoko wa Kampuni hiyo  Allan Chonjo wakisherehekea ujio wa Platinum