Hii nizaidi ya fedheha kwa jamaa huyu anaefahamika kwa jina la Ppeter Karani aliyefikia maamuzi hayo baada ya mkewe kumwacha na akaondoka nyumbani.
Ili kutimiza haja zake za kingono, Peter aliamua kuhamishia tendo hilo kwa mbuzi wake ili kuepukana na usumbufu mwingine.
No comments:
Post a Comment